Kumpokea Kristo si kuamini tu, ni kumkiri na kumfuata.
Neno la Mungu linatuhimiza kumfuata Yeye kwa moyo wetu wote.
* Mathayo 16:24: "Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, 'Ikiwa mtu yeyote anataka kunifuata, lazima ajikane mwenyewe, achukue msalaba wake, anifuate.'"
* Yohana 10:27: "Kondoo zangu husikia sauti yangu, nami huwajua, nao hunifuata."
* Kumbukumbu la Torati 13:4: "Mfuateni Bwana, Mungu wenu, mcheni, mshikeni, mtiini, mmtumikieni, na kushikamana naye."
Kumfuata Mungu kunamaanisha kuweka imani yetu kwake, kumtii, na kumtumikia. Ni kujitoa kwa Mungu na kuishi maisha ambayo yanampendeza.
Huwezi kua kumpokea Kristo na kubaki ulivyo.