Roho Mtakatifu ndiye suluhisho la kudumu la matatizo ya mwanadamu

upo sahihi ndugu
 
Unaweza kumuona kwa macho yapi?
we jamaa ipo hivi ili umuone tafuta amani ya moyo wako mfano fanya mambo ambayo mtu mwenye roho/tabia nzuri hufanya muige/iga matendo ukisha fanya/kuiga hayo yake akili nayo itapelekwa na MUNGU maana akili kwa kawaida kama humjui MUNGU ina maana kama roho sa ipo ivi kama unaroho/tabia/matendo ya watu wa matendo mazuri na kutenda wanayotenda ni lazima uwe na Roho mtakatifu/akili iliyo kamilika.kingine mambo yasiyofanywa na hao wenye Roho mtakatifu/akili iliyo kamili na wewe usifanye hapo utamuona mpaka MUNGU
 
Maelezo mengi ni dalili ya ubatili
 
Kama huwezi kumuona roho mtakatifu, Ulijuaje yupo?

Na unathibitishaje yupo?
Upepo umewahi kuuona?
Effects za upepo ndizo hutambulisha kuwa kuna upepo.
Joto umewahi kuliona?
Ni effects zake ndizo hutoa majibu.
The same to Holy spirit
 
Kuna watu ambao hawampokei Yesu ili wazaliwe mara ya pili. Waislam, Buddha, Hindu, Chinese etc! Vipi hao ni motoni moja kwa moja?
 
Upepo umewahi kuuona?
Effects za upepo ndizo hutambulisha kuwa kuna upepo.
Joto umewahi kuliona?
Ni effects zake ndizo hutoa majibu.
The same to Holy spirit
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.

Upepo upo unasikia ukivuma. Upepo upo unapimika kwa vifaa kama Anemometer, Windvane.

Joto lipo, linapimika.
Infact unaweza kupima kiwango cha joto kwa Thermometer.

Sasa huyo Roho mtakatifu hayupo kwa namna yoyote ile.

Huyo Roho mtakatifu Haonekani, Hashikiki, Hasikiki na wala hapimiki.

Huyo Roho mtakatifu ni mawazo yenu ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.
 
Kuna watu ambao hawampokei Yesu ili wazaliwe mara ya pili. Waislam, Buddha, Hindu, Chinese etc! Vipi hao ni motoni moja kwa moja?
Kumpokea Kristo si kuamini tu, ni kumkiri na kumfuata.

Neno la Mungu linatuhimiza kumfuata Yeye kwa moyo wetu wote.

* Mathayo 16:24: "Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, 'Ikiwa mtu yeyote anataka kunifuata, lazima ajikane mwenyewe, achukue msalaba wake, anifuate.'"

* Yohana 10:27: "Kondoo zangu husikia sauti yangu, nami huwajua, nao hunifuata."

* Kumbukumbu la Torati 13:4: "Mfuateni Bwana, Mungu wenu, mcheni, mshikeni, mtiini, mmtumikieni, na kushikamana naye."

Kumfuata Mungu kunamaanisha kuweka imani yetu kwake, kumtii, na kumtumikia. Ni kujitoa kwa Mungu na kuishi maisha ambayo yanampendeza.

Huwezi kua kumpokea Kristo na kubaki ulivyo.
 
Thibitisha roho mtakatifu
 
Mungu yupi?
 
Thibitisha roho mtakatifu
Imeandikwa hivi

ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui;......
Yohana 14:17
Ili nithibitishe ukiri hapa unamwamini Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi.
Nje na hapo nitakuwa naweka pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe, hawezi kutambua uthamani wake
 
Kuandikwa sio tatizo , kama ni kuandikwa tu wanadamu wameandika mambo mengi sana, kama wewe unae huyo roho mtakatifu unashindwaje kuthibitisha sasa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…