OK hakuna Mungu , sijui na huyo roho mtakatifu pia hayupo zaidi ya kwenye fikra za waaumni tu , binadamu ili aweze kuendelea kwa chochote wala haitaji kuamini hayo mambo , japo imani za watu tunaziheshimu tu , kwa sababu kila mtu anayo haki ya kuamini anavyotaka.