SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
Angekuwepo asingekubali watu watumie jina lake kutapeli wenzaoRoho Mtakatifu yupo, ila kuna watu wanatumia vibaya jina na kazi zake
kuna kitu kiko chini ya kapeti kinachofanya dini zote zionekane ni utapeliSio roho mtakatifu tu , Dini zote Kwa ujumla ni utapeli mkubwa kuwahi kutokea katika maisha ya binaadamu
Mfano mdogo tu ni huyo shekhe mwaipopo the way anavyotumika
Ndio lengo la dini zote kuunzishwa lilikuwa vile ku- manipulate watu
Shida sisi tuna react sana wakati YESU mwenyewe aliruhusu watu watumie jina lake kusema kuwa ndio yeye.Angekuwepo asingekubali watu watumie jina lake kutapeli wenzao
Tatizo tunasubiri siku ya ibada ndio tuwe wa kiroho, halafu baada ya hapo unarudi duniani tena. hapo ni ngumu kuwa na ROHO MTAKATIFURoho mtaktifu anafanya kazi ndani ya mtu binafsi hakuna haja ya kusimuliwa,kama mmezoea masimulizi lazima mtaona ni utapeli, jishughulishe na Mungu ushukiwe roho wewe kama wewe na sio kusubiri mchungaji wako aje kukusimlia!
Inawezekana unamzungumzia kwenye angle isiyo fanaka kwako.Katika historia ya dini na imani, kumekuwa na madai mengi kuhusu uwepo na kazi ya Roho Mtakatifu. Watu wengi hutumia jina hili kama chombo cha kuhalalisha matendo yao au kuwadanganya wengine.
Mara nyingi, madai ya kuongozwa na Roho Mtakatifu hutumika kama njia ya kupata mamlaka ya kiroho, heshima, au hata faida za kifedha. Hii imekuwa chanzo cha utapeli mkubwa katika maisha ya binadamu.
Wapo watu wanaodai kupokea maono, sauti, au maagizo kutoka kwa Roho Mtakatifu, lakini kwa hakika wanatumia hila na maneno ya kiroho kuwadanganya wafuasi wao. Wengine huanzisha madhehebu mapya wakidai wanaongoza kwa nguvu ya Roho Mtakatifu, lakini lengo lao ni kujipatia mali na ushawishi. Hii ni hatari kwa jamii kwa sababu inavuruga imani ya watu na kuleta migawanyiko ya kidini.
Zaidi ya hayo, madai haya yamekuwa yakisababisha watu kupoteza mali, muda, na hata maisha kwa kufuata viongozi wa kiroho wasio wa kweli.
Dhana ya Roho Mtakatifu mara nyingi hutumika kama kifaa cha utapeli. Binadamu wanapaswa kuwa makini na kuchunguza kwa kina kila madai ya kiroho kabla ya kuyakubali.
Wachungaji wa mitandaoni wanawapotosha sana hawa majamaa, hakuna cha akili kubwa kwenye mambo ya kirohoRoho mtakatifu yupo na anatenda kazi, shida yako ni kukosa maarifa tu, na hivi ni shida ya wengi hawataki kusoma neno na kulijua, mwisho wa siku wanawekeza kwenye kumsikiliza nabii au mchungaji, roho mtakatifu ni wa wote wanaomhitaji, hivyo mchungaji hawezi kukuambia kubwa roho mtakatifu amesema unipe nyumba wakati huo wewe huna taarifa huyo sio roho mtakatifu.
Kama kuna maelekezo ya sadaka basi utaanza kuambiwa na roho mtakatifu na sio mchungaji kukuambia
Kabisa!Tatizo tunasubiri siku ya ibada ndio tuwe wa kiroho, halafu baada ya hapo unarudi duniani tena. hapo ni ngumu kuwa na ROHO MTAKATIFU
Shetani na mama mkwe wake wamefika!Mimi nina ROHO MTAKA-MBOLO.
Huyu roho juzi kaniotesha navuna mihogo kwenye shamba la mume wangu kipenzi Mbaga Jr
Nilifaidi sana mihogo. Jina la bwana lihimidiwe.
Pigia yesu makofi.
Cc: secretarybird
Ndio nini sasa?Sawa banyong'ode!
Duh! unahitaji maombiMimi nina ROHO MTAKA-MBOLO.
Huyu roho juzi kaniotesha navuna mihogo kwenye shamba la mume wangu kipenzi Mbaga Jr
Nilifaidi sana mihogo. Jina la bwana lihimidiwe.
Pigia yesu makofi.
Cc: secretarybird