Roho na ndoto (Dreams)

Roho na ndoto (Dreams)

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Binadamu ni
i. Roho
iii. Nafsi
iii. Mwili

Katika nafsi ndani yake hukaa Akili(mind)
Nafsi imepewa uhuru wa kuchagua kutii amri ya mwili au amri ya Roho.

Mungu alimuumba mwanadamu aishi kwa kufata Roho (Kuishi kiroho)

Ukiishi kimwili unakua unakosea.

Mwili wako una macho mawali.
Roho yako ina jicho pia.
Mwili unamasikio mawili.
Roho pia ina sikio.

Kusikia na kuona kwa mwilini sio shida wote tunaelewa.

Roho.
Kama ilivyo katika ulimwengu wa mwili unaitaji macho na mwanga kuweza kuona. (ndiomaana wakati wa usiku tunawasha Taa ndani ) nuru iendelee kuwepo.

Pia katika ulimwengu wa roho, jicho la roho yako linaitaji mwanga kuweza kuona.

*NURU *
Nuru katika ulimwengu wa roho inapatikana vipi ?????
Kusudi kuweza kuona mambo ya rohoni.
Kumbuka katika ulimwengu wa roho ndiko kwenye uhuru wa kuona pasipo mwisho, kusikia chochote unachotaka kusikia. kila jamba linalotokea katika Mwili kwanza linaanza katika ulimwengu wa roho.
Roho inanguvu kuliko mwili.
Katika ulimwengu wa roho unaweza akasema chochote na kikawa.
Katika ulimwengu wa roho hakuna kudanganya, roho zinasikilizana bila kuficha.

Ukiwa mjuzi wa mambo ya rohoni huwezi kudanganywa na mwanadamu mfano katika mapenz bila kujua.

Fungua jicho la Tatu.

Nuru katika jicho la Ndani ...
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa. hasa ya kiroho.

Nitaendelea na Elimu ya Ndoto.
Ndoto ambazo ni ujumbe unaoletwa katika picha(image) na alama (symbols) and sign tofauti tofauti pindi mwili unapokua katika hadi ya kulala (subconscious)

Mwili unapokua katika hali ya utulivu sana ndipo Roho uweza kutawala na kupata nafasi ya kusikia na kuona kwani macho ya mwili ambayo yanatumika sana yanakua yamefumbwa.

Vyanzo vya ndoto.
i. Chanzo ni wewe mwenyewe shughuli zako na tabia yako. (Huletwa na Mungu pia)
ii. Kutoka kwa Mungu.
iii. Kutoka kwa Shetani.

Chanzo cha ndoto za kutoka kwa shetani ni kwa wale ambao Hawana Mungu wa Kweli. Aliye na Mungu wa kweli hapati ndoto kutoka kwa shetani, ila hupata shambulio pia linalotoka ulimwengu wa giza na kujikuta katika mapambo katika ulimwengu wa roho.

Kwa wakristo wa kweli.. Karibu natamani tujifunze tafsiri ya ndoto tofauti tofauti kwa pamoja.

Kwani kupitia ndoto ndipo roho zetu hupokea ujumbe au maagizo kutoka kwa Mungu wetu.
mfano taafira ya Jambo litakalotokea baadae katika ulimwengu wa mwili.
Huwezi kumtumikia Mungu kama huwezi kusikia sauti yake na kuitii.

by dr Surya The Prophet
 
Elimu ya kiroho ni pana mno! Pasipo kuyafikia maarifa ya kweli utabakia na mshangao tu
 
Roho ni msema kweli daima
Asili ya roho ni Muumba mwenyewe (Mungu), ndiyo maana hii shetani hawezi kuilaghai wala hawezi kuipoteza. Shetani anadili zaidi na nafsi ya mtu na ndiyo inayoweza kuangamia na kupotea, ikiponzwa na mwili. (Mwili ni kama chambo cha kumtegea nafsi)
 
sure
 
Tunawezaje ili kushinda nguvu ya mwili
Kushinda nguvu ya mwili ni lazima ujikite kiroho zaidi, na ili ujikite kiroho ni lazima uwezeshwe na mwenye uwezo kiroho kuliko wewe yaani upate nguvu kutoka kwenye chanzo cha nguvu hiyo. Pia inahitajika wakati mwingine nidhamu yako binafsi kama kichocheo cha mwanzo wa kuwezeshwa kupata nguvu ya ziada. Ndiyo maana siyo wote wenye nidhamu hii ya kujikana ili waweze kupiga hatua zaidi ya kiroho. Yapo na mambo mengine mengi ya kuzingatia ili kuushinda mwili ambao nao ni chanzo kikubwa cha kukuharibu
 
Binadamu ni
i. Roho
iii. Nafsi
iii. Mwili

Katika nafsi ndani yake hukaa Akili(mind)
Nafsi imepewa uhuru wa kuchagua kutii amri ya mwili au amri ya Roho.

Mungu alimuumba mwanadamu aishi kwa kufata Roho (Kuishi kiroho)

Ukiishi kimwili unakua unakosea.

Mwili wako una macho mawali.
Roho yako ina jicho pia.
Mwili unamasikio mawili.
Roho pia ina sikio.

Kusikia na kuona kwa mwilini sio shida wote tunaelewa.

Roho.
Kama ilivyo katika ulimwengu wa mwili unaitaji macho na mwanga kuweza kuona. (ndiomaana wakati wa usiku tunawasha Taa ndani ) nuru iendelee kuwepo.

Pia katika ulimwengu wa roho, jicho la roho yako linaitaji mwanga kuweza kuona.

*NURU *
Nuru katika ulimwengu wa roho inapatikana vipi ?????
Kusudi kuweza kuona mambo ya rohoni.
Kumbuka katika ulimwengu wa roho ndiko kwenye uhuru wa kuona pasipo mwisho, kusikia chochote unachotaka kusikia. kila jamba linalotokea katika Mwili kwanza linaanza katika ulimwengu wa roho.
Roho inanguvu kuliko mwili.
Katika ulimwengu wa roho unaweza akasema chochote na kikawa.
Katika ulimwengu wa roho hakuna kudanganya, roho zinasikilizana bila kuficha.

Ukiwa mjuzi wa mambo ya rohoni huwezi kudanganywa na mwanadamu mfano katika mapenz bila kujua.

Fungua jicho la Tatu.

Nuru katika jicho la Ndani ...
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa. hasa ya kiroho.

Nitaendelea na Elimu ya Ndoto.
Ndoto ambazo ni ujumbe unaoletwa katika picha(image) na alama (symbols) and sign tofauti tofauti pindi mwili unapokua katika hadi ya kulala (subconscious)

Mwili unapokua katika hali ya utulivu sana ndipo Roho uweza kutawala na kupata nafasi ya kusikia na kuona kwani macho ya mwili ambayo yanatumika sana yanakua yamefumbwa.

Vyanzo vya ndoto.
i. Chanzo ni wewe mwenyewe shughuli zako na tabia yako. (Huletwa na Mungu pia)
ii. Kutoka kwa Mungu.
iii. Kutoka kwa Shetani.

Chanzo cha ndoto za kutoka kwa shetani ni kwa wale ambao Hawana Mungu wa Kweli. Aliye na Mungu wa kweli hapati ndoto kutoka kwa shetani, ila hupata shambulio pia linalotoka ulimwengu wa giza na kujikuta katika mapambo katika ulimwengu wa roho.

Kwa wakristo wa kweli.. Karibu natamani tujifunze tafsiri ya ndoto tofauti tofauti kwa pamoja.

Kwani kupitia ndoto ndipo roho zetu hupokea ujumbe au maagizo kutoka kwa Mungu wetu.
mfano taafira ya Jambo litakalotokea baadae katika ulimwengu wa mwili.
Huwezi kumtumikia Mungu kama huwezi kusikia sauti yake na kuitii.

by dr Surya The Prophet
Kuna vitu umetaja kwa usahihi na kuna vingine umeshindwa ku link kwa urahisi. Vyote vya meili nafsi na roho ni sahihi, na hatauwepo wa jicho na sikio na viungo vingine vya rohoni vipo.

Mwili na roho vinafanya kazi pamoja, kusaidiana, ila vina ulimwengu mbili tofauti (universes)

Hapa namaanisha ulimwengu wa mwili, ni tofauti kabisa na ulimwengu wa roho.

Hii ndio maana tuna pumzi na roho na vyote vipo kwenye vazi moja la mwilini (ingawa roho haionekani kwa macho kwa sababu yenyewe ina asili ya ulimwengu mwingine wa roho, na si wa mwili...ila vimekuwa linked pamoja.

Sasa hapa ndipo unajua kuwa Mungu ni fundi wa milele, maana roho ni kitu cha ulimwengu usioonekana na ni wa milele, haifi wala kuharibika, lakini kina madhara makubwa sana kwenye mwili huu uliopo kwenye ulimwengu wa flesh (unaoonekana)

Na hapa kwa kukazia tuu ni kwamba mwili ni ulimwengu temporary, wa kupita, unaoharibika na kufa na kupotea, ila roho ni ulimwengu wa milele..haifi na wala haipotei..

Mwanadamu akianza kufahamu mengi ya ulimwengu wa milele atajua na kufanya mengi mno ambayo yalikuwa yamefungwa kwenye mind (subconscious) yake na hata kufungua senses za higher dimensions ambazo zinaweza kudefy nature na rules za ulimwengu wote wa mwili (flesh)

NOTE: mwanadamu ana limitation ya kutumia mambo ya rohoni kwa sababu mwili wake hauwezi kuhimili mambo, yaani hauna fuel ya kutosha kumudu mambo ya rohoni..ni sawa na kutumia simu ya GB1 kwenye intaneti ya 5G

ndio maana hata biblia inakuandaa na maisha baada ya kifo, au kukuonesha sparks chache za jinsi ya kuutawala mwili kiroho, ila haitaki kukazania sana kuupa nguvu mwili kutoka rohoni, kwa sababu mwanadamu hachelewi kunogewa na ulimwengu huu unaoharibika. Hii ndio utarejea machafuko, vita na mambo yaliyowahi kutokea kabla kihistoria....mf. stori za mnara wa babeli, Gharika ya nuhu, sodoma na gomora, na hata zile intergalactic wars ambazo ziliwahi kutokea miaka kadhaa iliopita (enzi hizo sayari ya Venus ni habitable), na kadhalika, na kadhalika..
 
Asili ya roho ni Muumba mwenyewe (Mungu), ndiyo maana hii shetani hawezi kuilaghai wala hawezi kuipoteza. Shetani anadili zaidi na nafsi ya mtu na ndiyo inayoweza kuangamia na kupotea, ikiponzwa na mwili. (Mwili ni kama chambo cha kumtegea nafsi)
Shetani anapenda uongo, anajua kila kitu ila vingine anakufichaficha ili uendelee kuishi katika uwongo.

Ngoja nijaribu kukuelewesha kwa urahisi.

Upo sahihi, asili ya roho ni Mungu.

Ila shetani hana mpango na roho, kwa sababu roho sio wewe.

Ili wewe utimie ni lazima uwe na nafsi na mwili na roho. roho kwa hapa ni kama power grid ya body lako, hasa ukiwa hapa duniani, na hata ukibahatika kuishi maisha ya baada ya kifo (maisha ya umilele)

Kwa hio nafsi ni identity yako, utambulisho wako wewe. Kiufupi nafsi ni WEWE.

Kama alivyosemaga Zumaridi kuwa kwenye ulimwengu wa roho ni hakuna muonekano wa sura, wote tuna muonekano mmoja. Hakuna mzuri wala mbaya, hakuna mrefu wala mfupi..hakuna mnene wala mwembamba, mweupe wala mweusi..n.k.

Ila roho inaweza kutambua na kuona na kujua kila inayokutana naye, na full data profile kuliko mwili na akili inavyochakata..ni kama quantum computer hivii..na zaidi.

So, kiufupi tuu ni kuwa..shetani ni negative force ambayo unayo ndani yako inayokufanya uasi, na uwe kinyume na Mungu (positive force) haya ni magumu sana kuyajua na kuyaelewa kwa urahisi ndio maana dini zinakuletea muongozo wake wa kipekee uliorahisishwa (simplified) ili usije ukateseka na kuchanganyikiwa hukoo hasa ukienda tuu kwenye ulimwengu wa kiroho kibubububu
 
Kuna vitu umetaja kwa usahihi na kuna vingine umeshindwa ku link kwa urahisi. Vyote vya meili nafsi na roho ni sahihi, na hatauwepo wa jicho na sikio na viungo vingine vya rohoni vipo.

Mwili na roho vinafanya kazi pamoja, kusaidiana, ila vina ulimwengu mbili tofauti (universes)

Hapa namaanisha ulimwengu wa mwili, ni tofauti kabisa na ulimwengu wa roho.

Hii ndio maana tuna pumzi na roho na vyote vipo kwenye vazi moja la mwilini (ingawa roho haionekani kwa macho kwa sababu yenyewe ina asili ya ulimwengu mwingine wa roho, na si wa mwili...ila vimekuwa linked pamoja.

Sasa hapa ndipo unajua kuwa Mungu ni fundi wa milele, maana roho ni kitu cha ulimwengu usioonekana na ni wa milele, haifi wala kuharibika, lakini kina madhara makubwa sana kwenye mwili huu uliopo kwenye ulimwengu wa flesh (unaoonekana)

Na hapa kwa kukazia tuu ni kwamba mwili ni ulimwengu temporary, wa kupita, unaoharibika na kufa na kupotea, ila roho ni ulimwengu wa milele..haifi na wala haipotei..

Mwanadamu akianza kufahamu mengi ya ulimwengu wa milele atajua na kufanya mengi mno ambayo yalikuwa yamefungwa kwenye mind (subconscious) yake na hata kufungua senses za higher dimensions ambazo zinaweza kudefy nature na rules za ulimwengu wote wa mwili (flesh)

NOTE: mwanadamu ana limitation ya kutumia mambo ya rohoni kwa sababu mwili wake hauwezi kuhimili mambo, yaani hauna fuel ya kutosha kumudu mambo ya rohoni..ni sawa na kutumia simu ya GB1 kwenye intaneti ya 5G

ndio maana hata biblia inakuandaa na maisha baada ya kifo, au kukuonesha sparks chache za jinsi ya kuutawala mwili kiroho, ila haitaki kukazania sana kuupa nguvu mwili kutoka rohoni, kwa sababu mwanadamu hachelewi kunogewa na ulimwengu huu unaoharibika. Hii ndio utarejea machafuko, vita na mambo yaliyowahi kutokea kabla kihistoria....mf. stori za mnara wa babeli, Gharika ya nuhu, sodoma na gomora, na hata zile intergalactic wars ambazo ziliwahi kutokea miaka kadhaa iliopita (enzi hizo sayari ya Venus ni habitable), na kadhalika, na kadhalika..
Elimu kweli bado ni pana kama unavyosema.
Maelezo yangu ni mafupi, kwa sababu ya kuepuka maswali ambayo hata mods wakiona unaongea vitu vingi bila evidence wanatupa huyo thread kwenye dust bin. 🤕😬

kwenye Subconscious hapa ndio kuna madini, inabidi utuandalie notes
 
Kuna vitu umetaja kwa usahihi na kuna vingine umeshindwa ku link kwa urahisi. Vyote vya meili nafsi na roho ni sahihi, na hatauwepo wa jicho na sikio na viungo vingine vya rohoni vipo.

Mwili na roho vinafanya kazi pamoja, kusaidiana, ila vina ulimwengu mbili tofauti (universes)

Hapa namaanisha ulimwengu wa mwili, ni tofauti kabisa na ulimwengu wa roho.

Hii ndio maana tuna pumzi na roho na vyote vipo kwenye vazi moja la mwilini (ingawa roho haionekani kwa macho kwa sababu yenyewe ina asili ya ulimwengu mwingine wa roho, na si wa mwili...ila vimekuwa linked pamoja.

Sasa hapa ndipo unajua kuwa Mungu ni fundi wa milele, maana roho ni kitu cha ulimwengu usioonekana na ni wa milele, haifi wala kuharibika, lakini kina madhara makubwa sana kwenye mwili huu uliopo kwenye ulimwengu wa flesh (unaoonekana)

Na hapa kwa kukazia tuu ni kwamba mwili ni ulimwengu temporary, wa kupita, unaoharibika na kufa na kupotea, ila roho ni ulimwengu wa milele..haifi na wala haipotei..

Mwanadamu akianza kufahamu mengi ya ulimwengu wa milele atajua na kufanya mengi mno ambayo yalikuwa yamefungwa kwenye mind (subconscious) yake na hata kufungua senses za higher dimensions ambazo zinaweza kudefy nature na rules za ulimwengu wote wa mwili (flesh)

NOTE: mwanadamu ana limitation ya kutumia mambo ya rohoni kwa sababu mwili wake hauwezi kuhimili mambo, yaani hauna fuel ya kutosha kumudu mambo ya rohoni..ni sawa na kutumia simu ya GB1 kwenye intaneti ya 5G

ndio maana hata biblia inakuandaa na maisha baada ya kifo, au kukuonesha sparks chache za jinsi ya kuutawala mwili kiroho, ila haitaki kukazania sana kuupa nguvu mwili kutoka rohoni, kwa sababu mwanadamu hachelewi kunogewa na ulimwengu huu unaoharibika. Hii ndio utarejea machafuko, vita na mambo yaliyowahi kutokea kabla kihistoria....mf. stori za mnara wa babeli, Gharika ya nuhu, sodoma na gomora, na hata zile intergalactic wars ambazo ziliwahi kutokea miaka kadhaa iliopita (enzi hizo sayari ya Venus ni habitable), na kadhalika, na kadhalika..
Asante kwa kuzama ndani zaidi mkuu. Haya mambo ni muhimu sana kwa mwanadamu kuyafahamu. Vizazi vilivyopita miaka mingi huko nyuma walikuwa watafiti zaidi katika mambo haya kuliko sisi wa sasa. Ndiyo maana unaona hata Musa v/s wamisri, ama Yoshua kusimamisha jua. Ni mambo kama haya
 
Shetani anapenda uongo, anajua kila kitu ila vingine anakuficha ili uendelee kuishi katika uwongo.

Ngoja nijaribu kukuelewesha kwa urahisi.

Upo sahihi, asili ya roho ni Mungu.

Ila shetani hana mpango na roho, kwa sababu roho sio wewe.

Ili wewe utimie ni lazima uwe na nafsi na mwili na roho. roho kwa hapa ni kama power grid ya body lako, hasa ukiwa hapa duniani, na hata ukibahatika kuishi maisha ya baada ya kifo (maisha ya umilele)

Kwa hio nafsi ni identity yako, utambulisho wako wewe.

Kama laivyosemaga zumaridi kuwa kwenye ulimwengu wa roho ni hakuna muonekano wa sura, wote tuna muonekano mmoja. Hakuna mzuri wala mbaya, hakuna mrefu wala mfupi..hakuna mnene wala mwembamba, mweupe wala mweusi..n.k.

Ila roho inaweza kutambua na kuona na kujua kila inayokutana naye, na full data profe kuliko mwili na akili inavyochakata..ni kama quantum computer hivii..na zaidi.

So, kiufupi tuu ni kuwa..shetani ni negative force ambayo unayo ndani yako inayokufanya uasi, na uwe kinyume na Mungu (ositive force) haya ni magumu sana kuyajua na kuyaelewa kwa urahisi ndio maana dini zinakuletea muongozo wake wa kipekee ili usije ukateseka na kuchanganyikiwa hukoo hasa ukienda tuu kwenye ulimwengh w akiroho kibubububu
Asante mkuu, upo sahihi, najua mtu hukamilishwa na hivi vitatu hasa hapa duniani. Na nafsi ndiyo inayobeba upekee wa mtu husika. Tena ipo mbegu njema na mbegu ovu ndani ya mwanadamu. Kwa mtu aliyejaliwa neema ya ufahamu dini inaweza kumpatia mwongozo kwa sehemu kufikia hatua fulani, ila kwa bahati mbaya sana viongozi wengi wa dini wamekuwa tatizo wakivunja misingi mizuri ya dini na kupoteza watu kwa kutumia dini
 
Dini wengine hawazijui vizuri na wengine wanajua sana mpaka hawaeleweki tena kirahisi

Mambo ya ulimwrngu wa roho ni magumu mno, na ni mapana mno, kwa sababu ni ya milele...mwili wetu huu hauwezi kuhimili..sanasana tunaeza kujua hints tuu na utangulizi ndio tunayoweza kujadili na kuongea.

Hio ndio maana Zumaridi ameonekana chizi mbele ya watanzania..maana hawamuelewi..na hawatakaa wamuelewe kirahisi.

Kwa maelezo ya Zumaridi kwenye ile interview aliyofanya na MillardAYO, ninaweza kudhani kuwa ameenda kuzimu, kwa jinsi alivyoelezea, au labda mahali pengine pa makazi mapya, ila sidhani kama ameenda mbinguni kabisaa..sifikirii hilo.

Ukiwa na nguvu za kiroho unaweza kwenda kwenye multiverse bila shida yoyote.

Mbinguni nadhani ni mahala patakatifu mno, panahitaji utakaso wa kiwango cha juu mno..na kufika Mbinguni ni unakua umepiga hatua ya kumkaribia Mungu..so...[emoji2369][emoji2369]
 
Shetani anapenda uongo, anajua kila kitu ila vingine anakufichaficha ili uendelee kuishi katika uwongo.

Ngoja nijaribu kukuelewesha kwa urahisi.

Upo sahihi, asili ya roho ni Mungu.

Ila shetani hana mpango na roho, kwa sababu roho sio wewe.

Ili wewe utimie ni lazima uwe na nafsi na mwili na roho. roho kwa hapa ni kama power grid ya body lako, hasa ukiwa hapa duniani, na hata ukibahatika kuishi maisha ya baada ya kifo (maisha ya umilele)

Kwa hio nafsi ni identity yako, utambulisho wako wewe. Kiufupi nafsi ni WEWE.

Kama alivyosemaga Zumaridi kuwa kwenye ulimwengu wa roho ni hakuna muonekano wa sura, wote tuna muonekano mmoja. Hakuna mzuri wala mbaya, hakuna mrefu wala mfupi..hakuna mnene wala mwembamba, mweupe wala mweusi..n.k.

Ila roho inaweza kutambua na kuona na kujua kila inayokutana naye, na full data profile kuliko mwili na akili inavyochakata..ni kama quantum computer hivii..na zaidi.

So, kiufupi tuu ni kuwa..shetani ni negative force ambayo unayo ndani yako inayokufanya uasi, na uwe kinyume na Mungu (positive force) haya ni magumu sana kuyajua na kuyaelewa kwa urahisi ndio maana dini zinakuletea muongozo wake wa kipekee uliorahisishwa (simplified) ili usije ukateseka na kuchanganyikiwa hukoo hasa ukienda tuu kwenye ulimwengu wa kiroho kibubububu
Hii Iko deep sana, Kwa uelewa wa kawaida ni ngumu kuikubali au kuikataa[emoji120]
 
Back
Top Bottom