Roho nzuri inalipa, aliyetumiwa milioni 54 apewa laki 2 kama "ZAWADI NONO"

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Hivi nikupe hela yote hii halafu wewe unipe 0.0037 ya pesa niliyokurudishia?

makubwa๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
hii nafasi isimkute Poker tafadhali ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

watu na roho zenu

Screenshot_20230325-165228.png
 
Hivi nikupe hela yote hii halafu wewe unipe 0.0037 ya pesa niliyokurudishia?

makubwa๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
hii nafasi isimkute Poker tafadhali ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

watu na roho zenu

View attachment 2565167
Inategemea na mazingira!!kama umeziokota na ni ngumu kujulikana hapo utakuwa ni ujinga mkubwa sana!!lakini kama umetumiwa kimakosa au umezikuta kwenye account yako na ukazichukua,hapo umetafuta matatizo lazima utafungwa tu
 
Kwa kweli mie nikizikuta kwenye amount yangu nazichukua hiyo ya kufingwa itajulikana mbele kwa mbele
 
Inategemea na mazingira!!kama umeziokota na ni ngumu kujulikana hapo utakuwa ni ujinga mkubwa sana!!lakini kama umetumiwa kimakosa au umezikuta kwenye account yako na ukazichukua,hapo umetafuta matatizo lazima utafungwa tu
Unafungwa kwa makosa yapi?
elezea kisheria zaidi.

Pascal Mayalla ,, mfalme wa jukwaa la sheria
 
Watu wataona laki mbili ndogo tujiulize asingetumiwa hyo pesa kimakosa yeye alikua na uwezo wa kupata laki mbili hyo siku...

Ukumbuke hyo milion 54 hatujui ilikua ya kazi gani so chochote alichopewa mie naona fair...
 
Inategemea na mazingira!!kama umeziokota na ni ngumu kujulikana hapo utakuwa ni ujinga mkubwa sana!!lakini kama umetumiwa kimakosa au umezikuta kwenye account yako na ukazichukua,hapo umetafuta matatizo lazima utafungwa tu
Miaka kadhaa nyuma nilikuta kama 1.5-2m hivi kwa akaunti yangu ya benki . Nikauliza customer care wakasema nimelipwa ni pesa ya mshahara. Ilhali mshahara wangu ulikua haupiti kwao.

Kwa kweli niliishi nazo zote[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom