Roho ya binadamu ni sawa sawa na roho za wanyama wengine?

Theory ya reincarnation ni kuwa roho ya binadamu ni ya juu kwa thamani, unavyoishi hapa duniani matendo yako ndiyo yatakuhukumu. Ukiwa mtu wa haki, mkarimu na mwenye kujitoa kwa wenye shida, ukifa unaweza kuzaliwa katika nafasi iliyo bora kuliko ya mwanzo.

Ukiwa mshenzi mshenzi, unadhurumu watu, mchoyo, mzinzi, kutokufuata inada nk, unaweza kuzaliwa inzi.
 
Mkuu sana Sky, umeelezea falsafa ya imani ya Ubudha, reincarnation, which does not neccessitate the presence of that so called soul. Reincarnation inahusisha mwili tu, yaani ukifa, mwili wako unaenda kuzaliwa upya.
 
Roho ni kitu cha kufikirika tu kinachodhaniwa kuwepo kwenye mwili wa binadamu, ambacho eti, kwa mojawapo ya mafundisho, ndicho kitakachoenda kuishi huko mbinguni kwenye raha. Japo mafundisho hayohayo yanakiri kuwa hicho kinachoitwa roho hakionekani.

Wanyama wengine kama vile fisi, kenge, nguchiro, pakapori na nguruwe mwitu hawakupewa privilege ya kwenda kuishi mbinguni, hivyo hawana hicho kinachoitwa roho.
 
Hii tunaiwekaje? Kuwa hakunaga roho mkuu ni hisia tu za walio wengi.. kuamini Roho ingawaje! Hakunaga roho
 
Habari wakuu,

Kuna tafsiri nyingi sana za roho nafikiri kwenye tafsiri moja kuu ya roho unaweza ukaiingiza pande zote kwa binaadamu na kwa wanyama/wadudu wengine na nadhani kuna tofauti ya roho ya mwanaadamu na roho za wanyama wengine.

Sidhani kama kuna tofauti kubwa sana na pengine ile ile roho ya mwanaadamu ni sawa sawa kabsa na roho ya wanyama/wadudu wengine, na kinachonipa kufikiri ni huu u-special wa mwanaadamu kweli roho yake inaweza kuwa sana na za wanyama wengine?

Roho ni nini? Kwenye tafsiri kuu na kwa tafsiri hiyo uliyonayo au uliyoipata sasa bila shaka roho za viumbe vyote ni sawa.

Kuanzia nyungunyungu roho yake sawa na ya binaadamu sisimizi na wengineo, nyoka, simba, tembo, samaki, ndege, kiboko, kifaru na wengine ambao sijawataja roho zao ni sawa sawa kabsa na roho ya mwanaadamu au kuna tofauti na kama kuna tofauti ni ipi/zipi?
Mkuu; Unasimamia Upande gani? Kiimani(Dini) au Kisayansi? Kama ni Kiimani inategemea Mafundisho ya Kimsingi yaliyopelekea wewe kuamini kwamba kuna kitu kinachoitwa Roho na Nini Mstakabali (Hatima) wa hiyo Roho yako sasa na hapo baadaye i.e. Roho yako itaishi vipi hapo mwili wako utakapokuwa hauna uhai tena(ukifa).
Kisayansi HAKUNA Kitu kinaitwa ROHO. Kuna Uhai na Uhai huo huwepo pale Systems za mwili wako zinapokuwa zinajiendesha sawasawa(Physically Functionable Systems) kwa Kuchakata na Kutumia malighafi (Resources) kutoka kwenye mazingira.(Hewa, Vyakula etc.)
Lakini Kiimani baadhi ya watu huamini katika NAFSI na huenda ndani zaidi na kusema NAFSI iliyo Hai i.e. ROHO. Wengine husema ROHO ndiyo itiayo uzima.
Hao wenye Imani yao e.g. Wakristo wanaamini kwamba Ndani ya Mtu(Rohoni) ndimo kunatoka mambo yale yanayojidhihirisha kwa nje yaani Tabia ya mtu e.g. Wizi, Uasherati, Uongo, Ulevi, Matusi n.k. na wanadai kwamba Roho inaweza "Kulelewa" kuwa "Moulded" na kubadilika kutoka Roho Mbaya kuwa Roho Njema/Nzuri kupitia Mafundisho na Vitendo mbalimbali.
Sasa kama kuna wanyama tofauti na Binaadam, wanaokidhi vigezo hivyo basi nao watakuwa na Roho zao. Sijui wakifa zinaendaga wapi.
Hayo ni kwa mtazamo & mawazo yangu
 
Nzuri mkuu.. Asante
 
Hii tunaiwekaje? Kuwa hakunaga roho mkuu ni hisia tu za walio wengi.. kuamini Roho ingawaje! Hakunaga roho
Sio hisia tu za walio wengi, ni mafundisho ya dini..

Dini zinafundisha kwamba kuna vitu vinavyoonekana na visivyoonekana, mojawapo ya kisichoonekana ni roho. Kwa hiyo ni juu yako wewe kusuka ama kunyoa, kuamini au kutoamini.
 
Back
Top Bottom