Edwina Edwin
Member
- Nov 19, 2014
- 87
- 78
Chumvi ya asili ndo ipi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You talk some real stuffs but i hate the way u present your ideas, your foul language . your seem to be so poor men !!Dude go see a doctor if you think poverty is a myth. Unless you live on a different planet there’s no way you haven’t seen poverty with your own eyes even in the developed world. Saying supernatural is real but poverty is a myth you must be drunk.
Supernatural is something created by lazy assholes who wanted something to blame for everything that went wrong in their damn lives, and others supported that bs because it worked well with their own agendas, then comes the stupid followers who accepted that bs without questioning, that’s one of the reasons some societies today still live like they are in the 18th century.
You want proof? Lets not go far, just have a look at all those who love your supernatural bs, most of them poor or plain ignorant with zero plan in life, always looking to hide in some stupid fantasy. The truth hurts sometimes but someone has to say it
Vipi kuhusu #maji ya baraka, vipi kuhusu #Olive oil, vipi kuhusu kuombea leso au nguo makanisani ?? Nao ni ushirikina ?Mkuu kuna wakati mwingine unaandika "point" na kuna nyakati unaandikaga "ugoro" mtupu. Hii thread ya leo kiasi fulani inafundisha kumtumainia MUUMBA, lakini umeharibu unaposema watu watumie "chumvi". Hapo unakuwa umeingiza ushirikina tayari.
Mkuu hakuna chemi chemi itoayo maji moto na maji baridi kwa wakati mmoja. Au chemi chemi itoayo maji "matamu" na maji "chumvi" kwa wakati mmoja. Wewe unatoa vyote kwa wakati mmoja, haiwezekani bhana. Kama umeamua kuwafundisha watu kumtegemea MUNGU, basi sisitiza hapo hapo kwenye MUNGU, na usiingize tena imani za kishirikina.
Chumvi it is biblicalHakuna hoja yoyote ya msingi uliyoandika hapa. Ukweli utabakia pale pale kuwa dhambi ndiyo iliyoleta matatizo yote duniani na siyo vinginevyo. Kama dhambi isingekuwepo hata hiyo mikosi pia isingekuwepo. Huo ndiyo ukweli dhahiri. Biblia yenyewe imeandika wazi kabisa kuwa wanadamu wote wamefanya dhambi chini ya jua. Hakuna hata mmoja aliyemsafi. Wewe ukatae au ukubali lakini mikosi na mabalaa husababishwa na dhambi.
Na isitoshe hiyo chumvi mnayosema haiwezi kumfanya kipofu aone tena HAIWEZI kumfanya kilema atembee. Kutumia chumvi kwa imani ya kuondoa sijui mikosi au sijui kusafisha nyota, ni aina ya ushirikina, and its not Biblical. Hizo ni imani potofu za kishirikina na siyo maagizo ya Mitume. Hii mambo ya chumvi, ni tiba za waganga wa kienyeji, tiba za vigagula. Akili zenu zimejaa imani za kishirikina kuliko imani ya MUNGU. Mnaupenda uwongo kuliko KWELI ya MUNGU. Mmekulia katika familia zinazojishughulisha na uchawi na ushirikina ndiyo maana inawawia vigumu sana kuifahamu KWELI ya MUNGU. Matokeo yake mnaichanganya KWELI ya MUNGU na imani za KICHAWI.
Nimesema, na narudia tena kusema; nataka unioneshe ni wapi Mitume walifundisha kuwa, mtu akipata matatizo, achukue chumvi aweke kwenye maji na aoge kisha matatizo yake yatakwisha. Kama kweli hii ni tiba inayokubalika na MUNGU, basi hata Mitume wa MUNGU wangeifahamu na wangeifundisha kwa wanadamu kama tiba halali.
Narudia tena kusema, suluhisho la matatizo ya mwanadamu ni JINA LA YESU pekee. Hakuna suluhisho lingine lolote zaidi ya JINA LA YESU KRISTO.
Hivi muosha fedha unapatikana sana wapi?Chumvi ya mawe na muosha fedha ni tiba safi sana
Muosha fedha ndio nanj?Hivi muosha fedha unapatikana sana wapi?
Thanks for the needfulChumvi it is biblicalView attachment 956285
Kuna mtu unamsimanga hapa[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]lakini upo sahihiKuna ile hupendwi sasa unataka kudhihirisha kwamba unapendwa!! Nguvu itakayotumika hapa si ya kitoto, maana utatoa vichekesho na utani watu hawacheki na ndo kwanza wanavikosoa! Mungu atuepushe na hili balaa la kutopendwa