Roho ya kwa nini inazidi kumtafuna Mavoko

Ajiunge na Ali Kiba katika kuurudisha muziki wa bolingo kwenye chart. Tuna-miss sana masebene
Waambata wa Ali Kiba kwa nini hawafikagi mbali wanachuja mapema sana? cheki hawa Abdu Kiba,Hakeem 5,Abby Skills,Ommy Dimpoz,ToxStar,Spince....wote hawa sasa hivi wako juu ya mawe,Blue tu ndo naona anajikongoja kwa mbaaliiii
 
mavoko anaishi dar, mtoa mada anaishi sumbawanga.
 
Mbongo mpe kichwa cha habari tu kha! Kwani kesi si bado haijaisha huko kuumbuka kweupe aliko umbuka ni wapi jamani, mkuu acha nongwa

Sent using Jamii Forums mobile app
kesi imekua ngumu mkataba hauvunjwi na basata ndio mana kaulizwa kuna tatizo gani mpaka umeshindwa kukaa kajibu tatizo ndio nini mimba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…