Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Waambata wa Ali Kiba kwa nini hawafikagi mbali wanachuja mapema sana? cheki hawa Abdu Kiba,Hakeem 5,Abby Skills,Ommy Dimpoz,ToxStar,Spince....wote hawa sasa hivi wako juu ya mawe,Blue tu ndo naona anajikongoja kwa mbaaliiiiAjiunge na Ali Kiba katika kuurudisha muziki wa bolingo kwenye chart. Tuna-miss sana masebene