Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Mim mbona hua sikopeshwi, au sikopesheki๐๐๐Roho ya Madeni Ikuachie Kuanzia sasaView attachment 3384132
Wewe ni mdaiwa konkiMim mbona hua sikopeshwi, au sikopesheki๐๐๐
Sasa sidaiwi na mtu mim ndo nadai na nakimbiwa. Ikifika muda wangu wa kukopa sikopesheki๐ข๐ญ๐ญWewe ni mdaiwa konki
Sasa Mkuu bila madeni itakuwaje?Roho ya Madeni Ikuachie Kuanzia sasaView attachment 3384132
Mzee mwenzangu Mzee mwenzangu tatizo ilo๐๐Sasa sidaiwi na mtu mim ndo nadai na nakimbiwa. Ikifika muda wangu wa kukopa sikopesheki๐ข๐ญ๐ญ
Maden yenyewe yanasemaje mkuu ๐๐Sasa Mkuu bila madeni itakuwaje?
Kimekulamba๐๐๐
Tatizo litakua nin mzee mwenzangu?๐๐Mzee mwenzangu Mzee mwenzangu tatizo ilo๐๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]