Roho ya utambuzi (Spiritual Discernment)

acha kupaniki Mambo ya Mungu ni zaidi ya ufahamu wa mwanadamu.
Kama mambo ya Mungu ni zaidi ya ufahamu wa mwanadamu, Uliwezaje kutumia ufahamu huo huo kujua Mungu huyo yupo?

Unathibitishaje Mungu huyo yupo kwa ufahamu huo ulio utumia kujua Mungu huyo yupo?
Ukiambiwa umba hata sisimizi utaweza wewe ??
Sisimizi hajaumbwa.

Kama sisimizi lazima awe ameumbwa, Basi hata Mungu lazima awe ameumbwa.
 
😂😂😂😂😂
 
Mkuu Surya iwapo huendelei humu please nitumie kwa PM ninatamani niendelee kijufunza kitu
Mkichangia mawazo ndio najua kipi cha muhimu cha kuendelea nacho
 
Sawa
 
Iko Elimu sahihi Ndani yako Mkuu!
 
Hivi hii “ROHO” kuna wengine huwa hatuna ama vipi?
 
Izo nguvu za kiroho unazitambua vip?? Unazitumia vip?
Tafuta maarifa, Uvivu unawasumbua watu...Tangu niufahamu ulimwengu wa kiroho kwa uchache wake nmeamini sisi binadamu hatujakamilika kuwa binadamu kamili kama tupo kimwili peke yake,, Nna mengi ya kusema ila niishie hapa
 
Mada kama hizi unazipenda kwajili ya mabishano yako, Kuanzia sasa ungefanya tu mada za namna hii hazikuhusu hivyo unazipita tu..Maana huku wewe ni mweupe hauna unachokijua na haupo tayari kujua
 
Mada kama hizi unazipenda kwajili ya mabishano yako, Kuanzia sasa ungefanya tu mada za namna hii hazikuhusu hivyo unazipita tu..Maana huku wewe ni mweupe hauna unachokijua na haupo tayari kujua
Hamna majibu ya maswali yangu zaidi ya propaganda zenu mlizopumbazwa na kukaririshwa na dini zenu.

Ndio maana Hamuwezi kutoa hoja na majibu, ila mnatapa tapa tu kama wafa maji.
 
Hamna majibu ya maswali yangu zaidi ya propaganda zenu mlizopumbazwa na kukaririshwa na dini zenu.

Ndio maana Hamuwezi kutoa hoja na majibu, ila mnatapa tapa tu kama wafa maji.
ushuhuda wa mtu usiuite propaganda.

mimi ni muhanga wa jambo hili, usipo amini hivi vitu vipo mimi nakuona mjinga usie na akili moyoni.

Na Sikujui, uwenda ningekua nakujua ningekuonesha ishara zipi hata kwako zinatokea na hakuna kitu unaelewa.
 
Hamna majibu ya maswali yangu zaidi ya propaganda zenu mlizopumbazwa na kukaririshwa na dini zenu.

Ndio maana Hamuwezi kutoa hoja na majibu, ila mnatapa tapa tu kama wafa maji.
Wewe ni mjuaji na mjinga, Na ni heri ukaishia kuwa mjinga unaweza ukaelimishwa siku moja utafahamu mambo mengi yanayohusu ulimwengu, Ila siku ukivuka mstari ukaingia kwenye upumbavu utakua umeshapotea....

Huu ulimwengu una mambo mengi mno, Jitahidi ufahamu hata machache yatakusaidia...Hata mimi nmewahi kuwa mjuaji na mbishi kama wewe.
 
Somo zuri sana hili; Hebu nikuombe kitu kimoja kwamba uniweke wazi namna ya kuzipata nguvu za kiroho na uweze kutambua yajayo. Eneo Hilo najiona ninamapungufu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…