- Thread starter
- #41
....
.....Mkuu nimejaribu hapo juu
ok. nice try, take 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....
.....Mkuu nimejaribu hapo juu
Wakuu,
Tunatambua kuwa ndege aina ya roketi hukaa katika vinu vya kurukia zikiwa zimetazama kuelekea juu, vichwa vikiwa juu na anapochomoka kwenda anga za mbali huondoka kwa staili hiyo, sasa hizo roketi zinarudije katika vinu au stesheni zao? Kwa sababu ikirudi inabidi ikae vilevile kama mwanzo, yaani inakua wima kichwa kinanyanyuka kwa juu kama awali.
Swali: sasa inarudije kwenye kinu mpaka ikae wima vile au inarudi kinyume nyume kama gari?

Internet unayotumia inaweza kukupa majibu yote unayohitaji. Lakini mara nyingi watu wengi, hasa watanzania hawatumii internet kwa kujifunza. Kama wewe hapo.
Kwahiyo unataka jf iwe sehemu ya umbea tu?
Mkuu K 4 LIFE ulifika Mbeya salama vipi bajaji yako umeifanyia service baada ya safari...ila ulininyima lift
kesho narudi dar kwa bajaji yangu
Kwahiyo unataka jf iwe sehemu ya umbea tu?
Rocket sio ndege ni ile inayotumika kurusha vitu vinavyoenda anga za juu, uwa unaenda mpaka kile kifaa kifike kwny eneo la hewa ya uvutano halafu yenyewe uwa Mara nyingi inasambaratika na kuanhukia baharini au jangwani
Ndio maana sehemu za kurusha ni pembeni mwa baharini au jangwani
Kidogo maelezo yako yanafanania na ukweli lakini mbona cjawahi kusikia watu wa mamlaka ya anga wakitaadharisha watu wengine wanaotumia anga au bahari kuhusu auangukaji wa vitu vizito au mabaki ya rocket ili vcje vikagongana!
Hakuna roket inarudi kwenye kinu chake. roket ikiushwa basi ndio hairudi ina tumika mara moja tu. Kuna ya aina moja tu - Space shuttle ya marekani ambayo inaruka kama roket na inauwa kama ndege na inatumka tena