Roketi kuruka kutoka Dar es salaam hadi New work kwa dk 5 tu

Mr Alpha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
273
Reaction score
765
Tajiri zaidi duniani, Elon Musk, ametangaza kuwa kupitia roketi za SpaceX, abiria wataweza kuruka kutoka Dar es Salaam hadi New York katika muda wa dakika 5 pekee.

Kwa sasa, inachukua masaa 16 Mpaka 20 kutoka Dar es Salaam hadi New York kwa ndege bila kutua.
1732909934661.jpg
 
Tajiri zaidi duniani, Elon Musk, ametangaza kuwa kupitia roketi za SpaceX, abiria wataweza kuruka kutoka Dar es Salaam hadi New York katika muda wa dakika 5 pekee.

Kwa sasa, inachukua masaa 16 Mpaka 20 kutoka Dar es Salaam hadi New York kwa ndege bila kutua.View attachment 3165407
Unajua kuna urefu wa km ngapi kutoka poster hadi poster ya New york
 
Tajiri zaidi duniani, Elon Musk, ametangaza kuwa kupitia roketi za SpaceX, abiria wataweza kuruka kutoka Dar es Salaam hadi New York katika muda wa dakika 5 pekee.

Kwa sasa, inachukua masaa 16 Mpaka 20 kutoka Dar es Salaam hadi New York kwa ndege bila kutua.View attachment 3165407
Unaelewa athari za speed kwenye mwili wa binadamu ?
Ogopa kugeuzwa Guinea Pig, we huoni why mpaka Leo Elon Musk haendi Mars ?
Kwenye tech usiseme haitakuja kuwezekana. Ni swala la muda tu.

Ikiwa maombo unayo yaona huko angani yapo kwenye movement lakini huwezi ku gundua kwamacho ya kawaida basi jua ipo sika utakuja kuwezekana.
Haiwezekani kwasabu kawaida passenger flights zinaishia 1.3G na binadamu anaweza mudu Hadi 4G mpaka 6. Na unahitaji mafunzo
Kwasabu fighter jets zinazoenda mpaka kuvuka sound barrier pilots wanaishia 9G na ni Kwa muda mchache mpaka 1 second zaidi zaid ikuzidisha utapata blackout.
Kuna muda Physics haishindani na Mungu.
Dar to New York ni km 12400, satellite zina orbit mpaka 17000km/h sasa what about 5 minutes Kwa binadamu in 12440 km
 
Kwenye Non Giavity Force inawezekana lakn siyo kwenye Gravity area
 
Tajiri zaidi duniani, Elon Musk, ametangaza kuwa kupitia roketi za SpaceX, abiria wataweza kuruka kutoka Dar es Salaam hadi New York katika muda wa dakika 5 pekee.

Kwa sasa, inachukua masaa 16 Mpaka 20 kutoka Dar es Salaam hadi New York kwa ndege bila kutua.View attachment 3165407
Unajua maana ya dakika tano?
 
Unaelewa athari za speed kwenye mwili wa binadamu ?
Ogopa kugeuzwa Guinea Pig, we huoni why mpaka Leo Elon Musk haendi Mars ?

Haiwezekani kwasabu kawaida passenger flights zinaishia 1.3G na binadamu anaweza mudu Hadi 4G mpaka 6. Na unahitaji mafunzo
Kwasabu fighter jets zinazoenda mpaka kuvuka sound barrier pilots wanaishia 9G na ni Kwa muda mchache mpaka 1 second zaidi zaid ikuzidisha utapata blackout.
Kuna muda Physics haishindani na Mungu.
Dar to New York ni km 12400, satellite zina orbit mpaka 17000km/h sasa what about 5 minutes Kwa binadamu in 12440 km
Teknolojia za sub-orbital flights, kama roketi za SpaceX na Blue Origin, tayari zinafanyiwa majaribio. Roketi hizi hupanda juu kwa kasi sana, zikikata dunia kwa njia fupi kupitia anga za juu. Kwa mfano, teknolojia kama hii inaweza kufanikisha safari ya dakika chache kati ya mabara.
 
Tajiri zaidi duniani, Elon Musk, ametangaza kuwa kupitia roketi za SpaceX, abiria wataweza kuruka kutoka Dar es Salaam hadi New York katika muda wa dakika 5 pekee.

Kwa sasa, inachukua masaa 16 Mpaka 20 kutoka Dar es Salaam hadi New York kwa ndege bila kutua.View attachment 3165407
Weka chanzo cha habari
 
Back
Top Bottom