Roketi kuruka kutoka Dar es salaam hadi New work kwa dk 5 tu

Roketi kuruka kutoka Dar es salaam hadi New work kwa dk 5 tu

Unajua kuna urefu wa km ngapi kutoka poster hadi poster ya New york
great-circle distance kutoka Dar es Salaam hadi New York City (Manhattan) ni takriban kilomita 12,000 (km 11,770 hadi 12,200, kulingana na njia ya angahewa
 
Kwa hiyo ameona atupe sisi priority mkuu kuanzia Dsm Hadi New york..
Tunaupiga mwingi sana hadi unamwagika
Hahaha, kweli mkuu, kama safari ya kutoka Dar es Salaam hadi New York inaweza kuwa ya dakika tano, basi tumeshavuka viwango! Hii siyo tu priority, ni kama tunapewa nafasi ya kuwa mabingwa wa kasi duniani.

Hapo unapiga mwingi wa kimataifa hadi hata ndege za kawaida zituone kwenye rada zinasema, Hawa wanaenda wapi kwa speed ya rocket? Ni kama tunavyosema, kasi ya mwanga inakutana na ubunifu wa Tanzania!
 
Teknolojia za sub-orbital flights, kama roketi za SpaceX na Blue Origin, tayari zinafanyiwa majaribio. Roketi hizi hupanda juu kwa kasi sana, zikikata dunia kwa njia fupi kupitia anga za juu. Kwa mfano, teknolojia kama hii inaweza kufanikisha safari ya dakika chache kati ya mabara.
Hujajibu swali, unaelewa athari za speed kwenye mwili wa binadamu, sijasema haiwezekani, ila haiwezekani binamu kusafiri Kwa hiyo speed ya km 12440/ 5 min
 
Hapana, kwa sasa haiwezekani. Teknolojia ya roketi ya sasa haitoshi kusafiri umbali huo kwa kasi hiyo kubwa ambayo ingehitajika.
 
Back
Top Bottom