Roketi kuruka kutoka Dar es salaam hadi New work kwa dk 5 tu

Unajua kuna urefu wa km ngapi kutoka poster hadi poster ya New york
great-circle distance kutoka Dar es Salaam hadi New York City (Manhattan) ni takriban kilomita 12,000 (km 11,770 hadi 12,200, kulingana na njia ya angahewa
 
Kwa hiyo ameona atupe sisi priority mkuu kuanzia Dsm Hadi New york..
Tunaupiga mwingi sana hadi unamwagika
Hahaha, kweli mkuu, kama safari ya kutoka Dar es Salaam hadi New York inaweza kuwa ya dakika tano, basi tumeshavuka viwango! Hii siyo tu priority, ni kama tunapewa nafasi ya kuwa mabingwa wa kasi duniani.

Hapo unapiga mwingi wa kimataifa hadi hata ndege za kawaida zituone kwenye rada zinasema, Hawa wanaenda wapi kwa speed ya rocket? Ni kama tunavyosema, kasi ya mwanga inakutana na ubunifu wa Tanzania!
 
Hujajibu swali, unaelewa athari za speed kwenye mwili wa binadamu, sijasema haiwezekani, ila haiwezekani binamu kusafiri Kwa hiyo speed ya km 12440/ 5 min
 
Kwa kuzingatia kanuni za physics, hakuna kikomo cha nadharia cha kasi. teknolojia zinazotegemea physics ya hali ya juu,
Unajua umbali kati ya Dar na New York? Ni 12459.54 km (12459.54 gawa 5x60) utapata 42km kwa sekunde moja!. Speed ya sauti ni 0.332km kwa sekunde moja!
ACHA UJINGA KIJANA
 
Hapana, kwa sasa haiwezekani. Teknolojia ya roketi ya sasa haitoshi kusafiri umbali huo kwa kasi hiyo kubwa ambayo ingehitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…