Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Huyo ndio king of clayBado ,ila King Rafa,the King of Clay anaongoza kwa seti moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndio king of clayBado ,ila King Rafa,the King of Clay anaongoza kwa seti moja.
Nadal will prevailUnaonaje ,mweh mimi team Nadal .Kusema ukweli leo Theam ananiogopesha.
Set ya pili Thiem kakomaa so far anaongoza 6-5 games....Huyo ndio king of clay
Set ya pili Thiem kakomaa so far anaongoza 6-5 games....
Thiem kashinda set ya pili....1-1.Hope king atashinda tu
Thiem mjanja,kaamua akomae game ya mwisho when score was 6-5Imagine jamaa jana kacheza,leo anampelekesha Rafa.Leo Rafa atapata King mwenzake wa Clay.
Ha ha ha Nadal anaweza kupata kiboko yake leoSiem (nipo kolomije) anakaa leo, ni ukakamavu tu
Bado sana....Nadal ana energy sana,hawa chipukizi huwa wanachemka set za mbeleJamaa kakomaa.Nadal anaelekea kupokonywa kombe.
Nadal ana kawaida ya kucheza 'fea plei' hasa hatua kama fainali ili kutokumfedhehesha mshindani wakeHa ha ha Nadal anaweza kupata kiboko yake leo
Umeona set ya tatu Thiem kajikaanga mwenyewe? Broken early now behind 0-2 gamesNgoja nijipe matumaini,maana nishaanza kusikitika.Naona king kaanza vizuri seti ya tatu.