Yap!Usiniambie nimechemka.
Ngonja tuone,ila juzi juzi hapa Thiem alimtoa Rafa kule Barcelona.Tuone je leo ataweza kumshinda hapa kwenye Clay ground?
Seti ya ngapi inaenda wakuuThiem yupo njema lakini,ananipa joto ya jiwe hapa.
Kabla ya mechi walisema Thiem ni wa pili kumfunga Nadal kwenye clay kishamfunga mara tatu na kama sikosei mara mbili ni mwaka huu. Anayeongoza kumfunga mara nyingi kwenye udongo ni Djokovic kishamfunga mara 7. Leo naona Nadal hataki mchezo kagangamara lakini Thiem naye kashupaza shingo hataki kufungwa kirahisi rahisi.
Kweli kabisa mtu anayemuwezea Nadal ni Djokovic, ndio maana nilifurahi sana alipotolewa vinginevyo pangechimbika leo [emoji23][emoji28][emoji28]
Ila Thiem anastahili pongezi.
Ila Thiem anastahili pongezi.
Finalyyyyyyyyyyyyyy,Ila Thiem anastahili pongezi
Huyu atawapa tabu sana the BIG THREE Djokovic, Nadal na Federer.