Role model wangu ni Dr Issack Maro na Mshana Jr

Role model wangu ni Dr Issack Maro na Mshana Jr

......ingawa wote shughuli zao zinafanana kiasi fulani, ila mmoja ni daktari wa kisayansi na mwingine ni mganga wa kienyeji!!.....of koz tukiacha utani, ni kweli hawa Jamaa wanajitambua, wako na exposure, wameelimika lakini pia wana potential kwenye jamii......I appreciate too, respect to them......
[emoji173][emoji173][emoji173]
 
Mshana Jr ndugu yangu umeshajijengea credibility kubwa hapa jf hivyo kua makini sana na posts zako maana zinaweka kukushushia credibility kabisa, hili pia nilikuambia ile siku mlipopishana kauli na bibi wa jf
Asante kwa ushauri mzuri naahidi nitazingatia hili[emoji1545][emoji1548][emoji1752]
 
Qumamae, uyu Mshana wa kilingeni?
Mi sio mtu mzuri , ila kuna watu hawezi kua role model.

Najua ntaenda motoni , ila role model wa wadogo waliobaki duniani acha abaki Jesus Christ
Umeongea ukweli wa moyo nakupongeza kwa moyo mmoja
 
Back
Top Bottom