Yawezekana ili kuweza kuelewa nguvu za RA ni lazima tuchore jedwali moja hivi na kujaribu kuweka ndani yake watu ambao wanahusiana au wamehusiana moja kwa moja na RA na sasa watu hao wako madarakani au kwenye nafasi fulani za maamuzi.
a. Wale aliowafadhili na kuwasaidia kushika au kudumisha nafasi za kisiasa.
MATOKEO:
1. Jakaya M. Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2.Benno Malisa - (a) - Makamu Mwenyekiti- TAIFA, UVCCM
3.Sofia Simba - (a) - Mwenyekiti Taifa- UWT(CCM)
4. Prof. Juma Kapuya - Waziri wa Kazi & Maendeleo ya Vijana (Mbunge Urambo Magharibi)
5. Adam Malima - (a) - Naibu Waziri, NISHATI NA MADINI (Mbunge, Mkuranga)
6. Emmanuel Nchimbi, alikuwa Mwenyekiti wa Vijana, sasa Naibu Waziri Ulinzi
7. Dr. Peter Kafumu, aliacha kugombea Ubunge Igunga kumpisha Rostam, sasa Kamishna wa Madini
8.
9. Abdulaziz - RC.
10. Lukuvi - RC.
11.J Mongella - DC.
12. Membe - Ubunge, Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje
13.Mzindakaya - Ubunge.
14.Nyami - Ubunge.
15.Sita - Ubunge & U-spika.
16.Mahanga - Ubunge.
17. Guninita - CCM Mkoa.
14. Kamala - Ubunge.
15. Marmo - Ubunge.
16. PETER SELUKAMBA (a) Mbunge Kigoma Mjini
17. SIRAJU KABOYONGA (a) Mbunge Tabora Mjini
18. John Mwakipesile--RC Mbeya--[a]
19. Yusuf Makamba--Mbunge na Katibu Mkuu CCM [a]
b. Wale ambao wamewahi kuwa watumishi wake kwenye Vodacom.
MATOKEO:
1.Pius Msekwa - Vodacom B. - Makamu wa Mwenyekiti CCM (Bara)
2. William Ngeleja - Vodacom - Waziri wa Nishati na Madini
3. Dr. Idris Rashid (Vodacom) - Mkurugenzi Mtendaji Tanesco
c. Wale ambao wametumika kwenye vyombo vyake vya habari
MATOKEO
- Badra Masoud, Afisa Mawasiliano Tanesco, alikuwa Mhariri HCL
- Salva Rweyemamu, Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu, alikuwa Mhariri HCL
-
d. Wale wenye ushirikiano wa kibiashara.
Bila kuweka maelezo mengi, linatajwa
Jina (Salva Rweyemamu);
kundi lake (c)
na nafasi yake ya sasa (Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais).
Baada ya hapo tutachora majedwali ya watu wengine wawili halafu tutaona hiyo picha inayotokea inatuonesha nini. Yawezekana kuna kitu ambacho tumekimiss kwa muda mrefu juu ya RA na nadharia niliyonayo yaweza kuthibitika kisayansi juu ya "asili ya nguvu yake".
Mimi ni muhindi kwa kuzaliwa, baba yangu kazaliwa Bongo, mama yangu kazaliwa Bongo, na kwa kweli hali yangu ni ya kuajiriwa kama wengi wenu mulivyo, hivi kosa kufanya muhindi mmoja ndio tutukanwe sote? Mramba ni Mchagga, Mgonja nae hivyo hivyo mbon amakabila yao hayatukanwi? pole ploe jamaniKituko, please acha vituko mkuu. Idd Amini alivyowatimua nchi yake ndiyo ilipata maendeleo au iliacha kuyumba?! Na huko duniani kwingine unakokusema, je ni kule tu ambako kuna Wahindi lakini hamna maendeleo tunayoyahitaji (au kuwa chanzo cha haya malalamiko), au ni kule ambako kuna Wahindi lakini maendeleo yanaonekana?! Kama huko waliko lakini kuna maendeleo, ni nani anayesababisha maendeleo?
Kitulacho kinguoni mwetu. Ma DPP, ma CAG, ma Rais na wanao sign mikataba kwa niaba yetu sisi Watanzania ndiyo chanzo kikubwa cha kudumaa kwetu. Wengi wao wanaongozwa na tamaa na wengine ni dharau au unafiki. Angalia tu swala linalomhusu Mramba, - kusamehe kampuni ya kigeni kulipa kodi kwa miaka 99. Hili linatoka kwa mtu apendaye nchi yake na wajukuu zake kweli?!!
Mimi ni muhindi kwa kuzaliwa, baba yangu kazaliwa Bongo, mama yangu kazaliwa Bongo, na kwa kweli hali yangu ni ya kuajiriwa kama wengi wenu mulivyo, hivi kosa kufanya muhindi mmoja ndio tutukanwe sote? Mramba ni Mchagga, Mgonja nae hivyo hivyo mbon amakabila yao hayatukanwi? pole ploe jamani
it is true we need a dictator like iddi amini to push these horrible indians out of tanzania. Sisi watanzania sio fanta ni wafrica halisi black africans and we are proud of our country.
Indians have many passports and we do not know why our immigration laws are not strict. We need strong people kuwazibiti
pumba tupu????????????
serikali yenyewe wezi watupu!!
je na mtu asiejionea huruma yeye mwenyewe unadhani ataonewa huruma na mwenginee???
acheni kuongea pumbaaaa????
Leo mmeanza kwa wahindi, kesho mtaenda kwa wachagga.Dhambi ya ubaguzi haina mwisho. Kama kuna ufisadi katika wahindi (kama kulivyo na ufisadi kwa weusi na wazungu) tuuseme ufisadi huu, na wala si kabila au ethnicity ya mtu.
Nauliza wahindi anayewawezesha nani? Kuna wahindi wangapi kwenye wizara zetu? Ardhi? kwenye benki za serikali? Shirika la Nyumba?
Mbona tunawasema wahindi tu na hawa wanaowawezesha hatuwasemi?
Fisadi ni fisadi tu, hata awe m-Klingo.
Mimi ni muhindi kwa kuzaliwa, baba yangu kazaliwa Bongo, mama yangu kazaliwa Bongo, na kwa kweli hali yangu ni ya kuajiriwa kama wengi wenu mulivyo, hivi kosa kufanya muhindi mmoja ndio tutukanwe sote? Mramba ni Mchagga, Mgonja nae hivyo hivyo mbon amakabila yao hayatukanwi? pole ploe jamani
Tusipokuwa makini TZ itakuwa sehemu ya India kutokana na wingi wao,wanajaribu kuziteka Serikali dhaifu kwa kuwaweka madarakani watawala dhaifu ili watawale mlango wa nyuma,tuwe makini Watanzania.
mnakumbuka kuna chama kilikuwa kinaitwa KANU,kilikuwa kinakumbatia wahindi na mafisadi je leo hii kinasikika katika medani za siasa nchini kenya je chama hicho kinatofauti gani na chama chetu kiitwacho CHUKUA CHAKO MAPEMA(CCM) au CHAMA CHA MAJAMBAZI(CCM)siku haziko mbali tuone mkianguka kama hao wakina maji watawakumbuka,kipindi hicho watakuwa wako Canada wanasikilizia upepo unavyovuma
Mkuu Fernandes. Wasikubabaishe hao wakina Sikonge. Ni bigots ambao hawana hata aibu kumsifia Hitler! Hana anachokuzidi. Wewe, yeye,, mimi, sisi sote ni watanzania. Hakuna mwenye haki zaidi au pungufu ya mwengine. Hata usingekuwa muajiriwa. hata ungekuwa huna kazi au bilionea. Wewe ni mtanzania na hakuna wa kukuondolea hilo! Jivunie ulikotoka kama vile sote tunavyojivunia bila kusahau kinachotuunganisha.
Wakina Sikonge hawatusemei wamatumbi wote. Si leo, si jana wala si kesho kutwa!
Amandla.......