Rolf Kibaja: Usisambaze taarifa ambayo hauna uhakika nayo

Rolf Kibaja: Usisambaze taarifa ambayo hauna uhakika nayo

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
245
Reaction score
267
Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Rolf Kibaja, kupitia kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC Agosti 07, 2025, anawakumbusha watu wote kuepuka kusambaza taarifa zisizo za kweli pasipo uthibitishaji ili kuzuia madhara yanayoweza kutokana na taarifa hizo.

Tumia jukwaa la JamiiCheck.com kuwasilisha taarifa inayokupa mashaka ili kupata uhalisia kamili.
 
Back
Top Bottom