JamiiCheck
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 245
- 267
Kabla ya kuamini na kusambaza picha au video unazokutana nazo mtandaoni jiridhishe uhalisia wake au unaweza kuwasilisha kwenye majukwaa ya uhakiki wa taarifa kama JamiiCheck.com ili kupata uhalisia wa maudhui husika.
Ujumbe huo unaakisi kauli ya Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa TCRA, Rolf Kibaja, kupitia kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC Agosti 07, 2025 ikisisitiza uthibitishaji wa taarifa kuelekea uchaguzi mkuu kwani wapotoshaji wanaweza kutumia Akili Unde kutengeneza maudhui yanapotosha