Roll call 2016...

Heri ya Mwaka Mpya wana CC

Binafsi Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa Neema ya kuuona Mwaka 2023…

Hebu Mtag mwana JF yeyote unayempenda kama ameweza kuuona Mwaka mpya…

CL

Mshana Jr kaka upo?
Heri ya mwaka mpya nawe CharmingLady ukawe mwaka mzuri kwao na familia yako.
Nikiona I'd yako nakumbuka mbali kidogo
 
Nafurahi kuona former members wa jf , hivi kumbe mpo ? Mbona mnaacha jukwaa linavamiwa hivi na madogo wa juzi kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…