Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri ya mwaka mpya 2016 wanaCC....
Kichwa cha habari chahusika saana.....
Ukipita hapa naomba uitike ili tupate kufahamu uwepo wako wewe member wa CC katika mwaka huu wa 2016...
Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Upendo kwa kutufikisha mwaka 2016. Ni wengi tulioanza nao mwaka 2015 lakini kwa mapenzi ya Mola wametutangulia, nasi tuko nyuma yao....Pia naomba tutumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu wote waliotutangulia, kuwaombea wote waliopo mahospitalini na magerezani.
Mwenyezi Mungu tusaidie mwaka 2016 ukawe wa Baraka na mafanikio kwetu, familia zetu ,taifa letu na dunia kwa ujumla.
Ameeeen!!!!!!
Wasalaam
CL
jana na leoHeri ya mwaka mpya 2016 wanaCC....

heri chekwa kwako pia charmigladyNimefurahi kuwaona wapendwa... Muwe na mwaka wenye mafanikio!!!
Akchware nipo, charminglady habari za siku tele
Nipooo. ..Kwa mamlaka ya Mungu nimevuka.
Je nyie?
@Preta
@Cantalisia
@Filipo
@Valentina
@Lily Flower
@sweetlady
Nipooo mwalimu
Ha ha ha hatutafutani mishe vipi lakini loloyaaaaa...mishe vipi? hehe
Ha ha ha hatutafutani mishe vipi lakini lol
We ndo adimu, mi nipo sana sijabanwa na magufuli wala majukumuumekuwa adimu sana mke bora...ni Magufuli au majukumu