Roll call 2016...

Roll call 2016...

Heri ya mwaka mpya 2016 wanaCC....

Kichwa cha habari chahusika saana.....

Ukipita hapa naomba uitike ili tupate kufahamu uwepo wako wewe member wa CC katika mwaka huu wa 2016...

Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Upendo kwa kutufikisha mwaka 2016. Ni wengi tulioanza nao mwaka 2015 lakini kwa mapenzi ya Mola wametutangulia, nasi tuko nyuma yao....Pia naomba tutumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu wote waliotutangulia, kuwaombea wote waliopo mahospitalini na magerezani.

Mwenyezi Mungu tusaidie mwaka 2016 ukawe wa Baraka na mafanikio kwetu, familia zetu ,taifa letu na dunia kwa ujumla.

Ameeeen!!!!!!

Wasalaam

CL
Asante sana CL.Namshukuru Mungu nimevuka salama mie shieka. Weka tiki kwenye jina langu mkuu!
 
Present!

Namshukuru Mungu amenivusha mkuu.
 
Sijafa aisee hizi Bodaboda,ukimwi,mabasi, majambazi, kipindupindu vyote vimeisoma namba
 
Back
Top Bottom