Angalia usijeridhi hadi magonjwa kwa hao michepukoNitakupoteza usionekane tena...halafu nikurithi mpaka michepuko[emoji21]
Naona unataka kumuamsha shetani alielala..🤣Hujapata vyote wewe
Ndumba ..nilienda kuongeza daraja..
Basi ana nyota 'Mpwa' wangu.Duu mtu wa tatu wewe unamuulizia
Bibi sijui kafiaga wapi asee mda kidogo hajaibuka tena
😳🤣🤣Ndumba ..nilienda kuongeza daraja..
Hapana hajaolewa wala hajazaa,Atakuwa mzazi sasa, ananyonyesha
Mods wamegoma kuipiga pini ID yako mkuu?Hapana hajaolewa wala hajazaa,
Yule namba T...DVA.
Mpwae wake mie.