Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,524
- 5,731
Dalali we endelea kula kamisheni zetu tu.Sasa mimi mbona sitajwi au ni Beki asiekuwa na madhara?🙃😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dalali we endelea kula kamisheni zetu tu.Sasa mimi mbona sitajwi au ni Beki asiekuwa na madhara?🙃😜
Kazi si imeisha? Abaki kufanya nini sasa?kada mtiifu wa Lumumba.BIA YETU...kapotea toka October..mwaka jana
Sawa Boss.Dalali we endelea kula kamisheni zetu tu.
Tupogo toka 2009 tunaendeleza libeneke haipoiOld skul karibia yote imepotea
Duh. Hakuna anaenikumbuka. Basi nimezikwa kitambo[emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaagha wapi wewe usinipake mafuta kwa mgongo wa chupaMi nimekukumbuka
Maserati
Ila umeniwahi
[emoji125][emoji125][emoji124]
Aaaagha wapi wewe usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa