ππππTutumie picha tafadhali nina dawa ya mvuto pia new model..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] MIJINGA...!!!troublemaker nipo ila mama mtu Sakayo nimempiga stop kutumia Jf baada ya kujua kuna mjinga anamzengea.
π π
Laazizi nimekununia wewe siyo wa kunichunia hufananii kabisa..!
very soon nitaomba talaka yangu walaqhi' tena, mwanaume hata hujui familia yako inaendeleaje kweli laazizi..?Naanzaje kukuchunia mpenzi!
very soon nitaomba talaka yangu walaqhi' tena, mwanaume hata hujui familia yako inaendeleaje kweli laazizi..?
Jana na leo Mshana..