MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Huyu mama anafukuzia miaka 80 sasa na sauti yake inaanza kuchoka,
Lakini ameutendea haki wimbo mgumu ambao wasanii vijana wengi hawawezi kuuimba.
Uwezo kama huu tunategemea mtu akifika miaka kama 70 hawezi kuimba kwa pumzi sana.
Hii akiimba live
Ingekuwa yule Aretha wa miaka ya 60's hadi 80's huu wimbo sijui angeufanyaje.
LONG LIVE LEGEND, LONG LIVE THE QUEEN!!!!
CC: wick, Red Giant