SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Kodi pia ilipweKama barabara ni mbovu,wazibebe hizo rozirozi,lamkini na astonvila zao kwenye vichanja/mabodi wazi ya malori watembee nayo.Tunachotaka ni kuona wamenunua tu.
Nimeona Mkuu Ile Barabara ya Kilimanyeghe na kule Coco zimewekwa lami nzitoHujaona barabara za Masaki zilivonyooshwa jamvi? Na zilikua mbovu miaka kibao π
Kwa sababu kitindamimba kanunua rozirozi?Hujaona barabara za Masaki zilivonyooshwa jamvi? Na zilikua mbovu miaka kibao π
Huoni sahv wanaziba vilaka obay, mikocheni,msasani peninsula πHawa watoto wanashangaza Sana yaan ununue Lamborghini sijui Aston Martin mara Rolls Royce kwa barabara zipi za hapo Tungekinya kila sehemu mituta tu?
Chama kitengeneze Barabara/miundombinu ya kupitisha hizo Lamborghini kabla ya kuleta hayo magari ya Watoto wa Viongozi nchini
Ile sjui kama itamaliza mwakaNimeona Mkuu Ile Barabara ya Kilimanyeghe na kule Coco zimewekwa lami nzito
Kwa sababu ya Lamborghini?Ile sjui kama itamaliza mwaka
Ova
Hawahitaji hizo barabara, ni aina ya utakatishaji fedha na showoff.Hawa watoto wanashangaza Sana yaan ununue Lamborghini sijui Aston Martin mara Rolls Royce kwa barabara zipi za hapo Tungekinya kila sehemu mituta tu?
Chama kitengeneze Barabara/miundombinu ya kupitisha hizo Lamborghini kabla ya kuleta hayo magari ya Watoto wa Viongozi nchini
Na wewe mzee wa kutiki roho imekuuma? Wewe endelea na kampeni ya kutiki tu, si ushapewa baiskeli, ndio thamani yakoHawa watoto wanashangaza Sana yaan ununue Lamborghini sijui Aston Martin mara Rolls Royce kwa barabara zipi za hapo Tungekinya kila sehemu mituta tu?
Chama kitengeneze Barabara/miundombinu ya kupitisha hizo Lamborghini kabla ya kuleta hayo magari ya Watoto wa Viongozi nchini
Kura za ndioNa wewe mzee wa kutiki roho imekuuma? Wewe endelea na kampeni ya kutiki tu, si ushapewa baiskeli, ndio thamani yako
Akili zako hazina akili hizo ulizotaja zipo kibao hapa dsm ata kina kizinga na abdalla wanazo sanaHawa watoto wanashangaza Sana yaan ununue Lamborghini sijui Aston Martin mara Rolls Royce kwa barabara zipi za hapo Tungekinya kila sehemu mituta tu?
Chama kitengeneze Barabara/miundombinu ya kupitisha hizo Lamborghini kabla ya kuleta hayo magari ya Watoto wa Viongozi nchini
Sasa unalalamika nini supercars kununuliwa wakati barabara ni mbovu, komaa na kampeni ya kutikiKura za ndio
....Umeniwahi ! Na Mimi nimekuwa nikijiuliza Hilo Swali....na Jibu inakuwa...ni USHAMBA TU wa hao Vijana.Hawa watoto wanashangaza Sana yaani ununue Lamborghini sijui Aston Martin mara Rolls Royce kwa barabara zipi za hapo Tungekinya kila sehemu mituta tu?
Chama kitengeneze Barabara/miundombinu ya kupitisha hizo Lamborghini kabla ya kuleta hayo magari ya Watoto wa Viongozi nchini