Watanzania tupe picha story tutatunga sisi. Waliona picha wamepost rolls royce kuwa wanaiship tanzania, na wala hawakuandika kwa nani. Basi mtoa post kisa alisikia diamond dream car yake ni rolls royce akajua itakuwa ya Diamond. Akaleta habari.Kick tu
Mkuu kama unakumbuka sio mtoa post tu hadi "WAPAMBE" wake wa humu wakasema ni kweli ananunua.Watanzania tupe picha story tutatunga sisi. Waliona picha wamepost rolls royce kuwa wanaiship tanzania, na wala hawakuandika kwa nani. Basi mtoa post kisa alisikia diamond dream car yake ni rolls royce akajua itakuwa ya Diamond. Akaleta habari.
Ndio limemuuaa sasa.. ndio maana nime ahirisha kununua hiyo gari.. isije na mie nilipukia bureNikiona hiyo picha ya hicho chombo, namkumbuka GINIMBI kwake ilikuwa Kama takataka
Ila mwamba alitsha aisee, alikuwa anakula maisha balaaaNdio limemuuaa sasa.. ndio maana nime ahirisha kununua hiyo gari.. isije na mie nilipukia bure
My Guy Ginimbiiiii π€£π€£...Nikiona hiyo picha ya hicho chombo, namkumbuka GINIMBI kwake ilikuwa Kama takataka
Yule mwamba kala bata la five star πππIla mwamba alitsha aisee, alikuwa anakula maisha balaaa
Hatari sana kanikosha sana kwa yale matumizi yakeYule mwamba kala bata la five star [emoji3][emoji3][emoji3]
Ginimbi mwisho wa maneno.. πππhizi mambo tumwachie Ginimbi himself.
yaani parking yake ilikuwa imechafuka,hapa bongo niliiona kwa backresa zanzibar tu.
Best answer everGoogle si upo online
habari mkuuLabda kama anazungumzia mademu rose na joyce.....
rose royce haiwezi huyo.....
Imefika tayarNdinga haijafika bado?