Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Tatizo ni hilo tu wabongo hamjui kushauri jinsi ya kupata hela ila ni mabingwa wa kushauri mtu akishapata hela yake jinsi ya kutumia. Hivi unajua watu wanatafuta hela ili iweje?
Shangaa na wewe, yani kuna watu conservative duniani humu,unatafuta pesa unaacha kutumia uwekeze Kwa ajili ya vizazi, hivyo vizazi wape tu elimu, waje kufuja jasho na wao watafute vya kwao.
 
Shangaa na wewe, yani kuna watu conservative duniani humu,unatafuta pesa unaacha kutumia uwekeze Kwa ajili ya vizazi, hivyo vizazi wape tu elimu, waje kufuja jasho na wao watafute vya kwao.
Mtoto hakui kwa mzazi. ..mtoto akitaka moyo wako utampa. ..mafanikio ya mwanao ndiyo furaha yako.
MTU MWENYE BARAKA KUTOKA KWA MOLA HUWA ANAWACHIA URITHI MPAKA VITUKUU. .hapo ni kumaanisha kuwa una invest vizuri mali zako na wewe pia unastarehe. ..huu ni ushauri tu. ...mbona watu wakikaa club wanashauri ana? PESA INA PERSONALITY INAWEZA KUPITA KWAKO ON TRANSIT AU NDIYO IKAWA DESTINATION.
 
Nafikiri anataka tu kuwa msanii wa kwanza Tanzania kumiliki aina hiyo ya gari,lkn not good idea kaka mkubwa,hapo team yako walikushauri vibaya by the way it's ur money tumia pesa upate pesa [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mkuu hebu naombeni unitoe tongotongo mwenzio hivi hapo ulipoandika "head coupe 6.7 litre v-12" umemaanisha nini ??? samahani lakini kwa usumbufu
 
Wadau Tupeni Update Rozi Rozi la Bilioni moja nucta tatu (1.3Bilioni) la Dimond lishaingia? Maana mwezi na siku kama 3 zishapita tangu lisafirishwe,meli uk kuja dsm ni siku 21 tu na clearance siku 3,vipi lishaingia madale au limeshushwa south africa?
Sasa Ni Miezi Miwili na Siku 7 ROZI ROZI Bado Halijafika Kweli au meli imetekwa na Wasomari??
 
Ishatoka hiyo ikirudi pancha.

Tunasubiri collabo za Rihanna na Rick Ross sijui nazo tumepingwa changa kama Royce Rolls ilivyokuwa.
 
Hongera Sana Dimond kwa kununua Royce rolls na Nyumba South Africa.
 
Back
Top Bottom