Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
Unampangia matumizi ya hela yake wewe ni ZARI?wacha uthenge.......appartment kanunue wewe na family yako..
 
Wewe unajua bei ya appartments masaki au unaongea tuu? Nyumba tu hupati chini ya billioni 4.
 
Unampangia matumizi ya hela yake wewe ni ZARI?wacha uthenge.......appartment kanunue wewe na family yako..
Mimi sina tabia hiyo ya usen . ..lakini nakwambia amini usi amini ndiyo hiyo shughuli ninayo fanya . ..hata siku moja siwezi kumshauri mtu kitu ambacho mimi mwenyewe binafsi sikifanyi . ..ninanunua nyingi tu walahi . .... ..kama vitabu vya dini vinavyo shauri . ..
 
Wewe unajua bei ya appartments masaki au unaongea tuu? Nyumba tu hupati chini ya billioni 4.
Hatujuani humu ndani . ...hujui uwezo wangu...waulize kina Fida Hussein au Sultan . ..
 
Hongera kwake kwa hatua hiyo... Pesa ni zake anaamua yeye azitumie vp ila awaandalie mkwanja mrefu akina kaisari
 
The Rolls Royce musician from east africa aka diamond hatimaye amekamilisha ndoto zake za siku nyingi baada ya order yake ya gari aina ya rolls royce kukamilia na gari hilo liko njiani kuwasili mikononi mwake punde.

Gari hilo aina ya rolls royce Drop Head coupe 6.7 litre V-12 ambalo limeagizwa kupitia kampuni ya Newline Luxury Motors ambalo order yake ina waiting time ya six months kuanzia unapolipia hadi litengenezwe hadi likufikie mteja.

1480755177965.png

1480755224551.jpg
 
Back
Top Bottom