Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

6.7L or 6700CC mh
I can't afford driving that Car let me wait my order from Suzuki with my Brand new car Suzuki K with 6.6L or 660CC which consumes 1litre of petrol can go up to 30Km....
Well done Mr DiamondPlatinum hard work pays
 
Huwa linaendeshwa kwenye free ways aka flyovers tu. Barabara za Bongo halipiti labda za mwendo kasi. Kuliendesha barabara ya vumbi ni kuliAbuse! Ni made in Europe siyo China wala Japan.
Alaafu service yake inabidi ulipeleke South Africa,hakuna garage yoyote bongo inayo ruhusiwa kuligusa
 
Hii habari sidhani kama ni ya kweli, mbona picha zimeeditiwa kijinga jinga hivi??
 
Sasa hii habari si ya entertainment forum ama? Ni ujinga kuiweka huku kenya forum.
 
Rolls Royce ni mtu kama mimi ntanunua, lakini Diamond? Kwani ameona nini kwa hili gari lilopitwa na wakati?
 
Matajiri wa bongo halafu ataenda kulinywea tandale au mango garden
 
Kweli we differ in priorities. Muziki una mwisho wake na umri unaenda. Angekuwa na plan ya kuwa na viwanda hata vitatu au vi5, na kwa kutumia brand ya jina lake, angepiga hela mpk anakufa. Akicheza anaweza akafulia kimuziki, japo simuombei hilo, na atlast ikabaki story.

mbona povu linakutoka wewe ushajenga viwanda vingap mpka sasa?
 
Yani kuna wanaume wana wivu humu utadhani hzo millioni 900 mlimpa nyie acheni mambo ya ajabu pesa zake katafuta kwa jasho lake muacheni azile kwa faida yake kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake
 
Kwa kawaida ukaagiza gari mpya haina kodi kubwa kama iliyotumika
Acha uongo. Japan mark x, crown, ist, na starlet zote bei sawa ila bongo showroom bei tofauti. Kama ushuru sawa mbona bei tofauti
 
Back
Top Bottom