kluger
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,093
- 1,899
Na wewe ndiyo Mwenyekiti waokupitia uzi huu 95% ya watZ ni wachawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ndiyo Mwenyekiti waokupitia uzi huu 95% ya watZ ni wachawi
Mbona lakawaida Sana mkuu, naombeni sifa zake please!
Angefanya Davido au wizkid wangetoa sifa kedekede na kuwaona wako juuuuuuuu watz sisi tu wanafiki sana ndo mana tu maskini wa kila kituView attachment 441731ingia facebook acha wivu wa kike dogo
mzee ndinga kama hizi hua zinakuja kwa ndege hasa KLM sema wakaisubirie AirportWataalam wa TRA tupigieni hesabu za kodi yetu hapo Bandarini
behind any successfull man there is a womanHuyu Tandale boy mbona anafanya mambo ya upeo mkubwa-hapa lazima Zari anatumia exposure yake kumuweka Tandale boy juu-before we know it tutakuja stukia Diamond ni international icon
Fikra za kimaskini zitakuua wewe.....wewe hata baiskeli ya kusingiziwa hunaUmaarufu bwana, gari yenyewe hata mvuto haina kabisa. Kuna magari yanapendeza sana hata kwa kutazama tu kwa macho. Lakini anyway....ni pesa zake, anaamua atakacho mwenyewe.
Haya Endelea Kusubiri ilo Rozi Rozi la Instagram maana limetumwa tangia tarehe 15 tuna expect tarehe 7 itakuwa ishafika na ku clear ndani ya siku 7 kwahiyo tutaiona tarehe 14 mwezi huu barabarani.Weee nae matatizo yako usituletee hapa hesabu moja ya haraka ambayo hauijui revord label tu inaacha mzigo wa kutosha, caller tunes za WCB nazo huacha pesa ndefu, endorsement mbali mbali, shows jumlisha percent ya kila msanii aliepo WCB bado eti hauamini
Nina Kampuni ya Kuuuza Mkaa huku Minjingu basi...Sina X6 wala X10,Sina Jumba South wala Kibanda Ngareroo,Sina Demu mkali wala nini,Wewe una nini?Na wewe una nini?
Maneno Mengi ya nini ndugu? Tarehe 14 sio mbali tutaiona barabarani kwenye picha na instagram...Tuvute Subira.Kwako ukweli utakuwa upi,ukiona anaendesha au ..........??
Sina Povu kwa huyo Poyoyo wenu anaowaweka mjini kwa kumuanzia sredi za kitoto humu.Dah jamaa povu unalotoa latosha kuosha magari yote ya diamond na zari.. Au ndo mapovu yamekuzidia baada ya role model wako wemasepetu kuwa hana gari hata moja la kuosha?
Bora mie naeshinda kijiweni kuliko wewe mwanamme na mambupu yananing'inia unapewa kazi ya kusifia wanaume wenzako mtandaoni,ondoa njaa kichwani wewe ipo siku atakuja kukuumbua kama dimpoz.Wewe naamini ni mtoto wa kiume,sasa kama vipi ili usiwe na mapovu kama haya anza kupiga kazi na uache kukaa vijiweni,kila kitu kwako utaona vya kawaida ila hii ya wewe kushinda kijiweni kwa mtoto wa kiume sio,si unaona unavyojizalilisha mbele ya sisi kaka zako....??
Hivi ni lazima kila mtu alisifie?
Kama amefanya siri, wewe umeleta ya nini hapa? Kwani wewe ni msemaji wake?
Hawa Jamaa mitimu mavi wanataka wakileta sredi za wanaowaweka mjini wanataka kusifia tu ukienda kinyume lazima wakuporomoshee matusi.Naona anataka kila mmoja awe anatoa sifa tu
inaonyesha wazi kabisa huzijui gari wewe, gari unayovutiwa nayo itakuwa verosaUmaarufu bwana, gari yenyewe hata mvuto haina kabisa. Kuna magari yanapendeza sana hata kwa kutazama tu kwa macho. Lakini anyway....ni pesa zake, anaamua atakacho mwenyewe.
kipendacho roho kaka..Diamond ana nyumba na viwanja zaidi ya 30 DarBig mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .