Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Huyu Tandale boy mbona anafanya mambo ya upeo mkubwa-hapa lazima Zari anatumia exposure yake kumuweka Tandale boy juu-before we know it tutakuja stukia Diamond ni international icon
Au anagombea urais 2020 [emoji33] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wadau Tupeni Update Rozi Rozi la Bilioni moja nucta tatu (1.3Bilioni) la Dimond lishaingia? Maana mwezi na siku kama 3 zishapita tangu lisafirishwe,meli uk kuja dsm ni siku 21 tu na clearance siku 3,vipi lishaingia madale au limeshushwa south africa?
 
Has gotta be hoax. Even at their worst Rolls Royce has always maintained a sense of style and
taste.About the only exception was a butt ugly quad headlight
montrosity they brought out in the 1980s which lasted about 2 minutes. It looked like the Family
Truckster from National Lampoon's Vacation movie.

I think there was a public stoning of the designer over that gem!
 
Sina hasira maana jamaa yenu anipunguzii kitu wala haniongezee kitu simdai wala hanidai nachopinga ni timu yenu kutuletea habari za uzushi humu JF wakati tupo watu wenye akili timamu ambao tunajua kabisa ni uongo wa kiwango cha lami,Kuna njia nyingi za kuboost KOKORO maana imebuma.
km aliweza kulipwa tsh bil 2 na kulipa tsh mil 35 tra, atashindw kununua hyo gari, au kwsabab yy n diamond na anatokea tanzania ndio maana ww unaona km awez... tujifunze kuthamin vya kwetu na kuwapa sapoti pale watu wetu wanapo fanya vizur...
 
Kaka, Rolls Royce Ghost ni mziki mwingine kabisaa! Ni gari moja kali sana, lakin kwakua ni kwenye picha unaweza uka hisi ka ni ya kawaida sana!
 
Sawa ni kweli anaweza akawa amenunua gari hiyo...
Lakini tatizo linakuja unaposema katoa order kutengenezewa gari hiyo..
Wakati mwingine tuwe wakweli tu hivi vitu Ndo vinasababisha msiaminike siku mkisema ukweli...!!
 
km aliweza kulipwa tsh bil 2 na kulipa tsh mil 35 tra, atashindw kununua hyo gari, au kwsabab yy n diamond na anatokea tanzania ndio maana ww unaona km awez... tujifunze kuthamin vya kwetu na kuwapa sapoti pale watu wetu wanapo fanya vizur...
Acha Maneno Tunataka Rozi Rozi,Hata akillipwa Bilioni 100,Nyie ndio mmeleta uzi kwamba kanunua Rozi Rozi,Sie tukasema Dimond ana pesa ya kibongo tu ila kuvuta ndiga hiyo lazima uwe na Arab Money na sio Dafu Zetu hizi za kusumbua mjini.
 
kwn n tsh mpk useme hawez, au ww ndo unamshikia walet yake...
Linauzwa Milioni 800 CIF na TRA wakilamba zao inafika hadi hadi Bilioni 1 nucta 3.....Mtafute Davis Mosha ana Lambogini ya njano alinunua 1.5B,Kisha angalia Utajiri wa Davis kisha Mlinganishe na Dimond wenu anayelipwa mili 20 huku akiwa na msusulu wa watu kama20 wanasubiri karata!! #HuuMChezoHauhitajiHasira_TunasepanaKijiji.
 
Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
Umemaliza vzur ktk sentensi yako ya mwisho....... Nani atumie hzo gar kama si yy?
 
We ndo unawaza nyumba, mwenzako anayo mpk south
 
Umemaliza vzur ktk sentensi yako ya mwisho....... Nani atumie hzo gar kama si yy?
Hajafika bado. ...na kama mwendo wenyewe ndiyo huu...kuna watu wenye wealth na rich. ..sasa bado Hajafika huko kabisa ndugu yangu
 
Nasikia hii gari ina uwezo wa kuvuka pale kigamboni kwa kupaa! Eti kweli...
 
Back
Top Bottom