kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Muda sio mrefu nimeingia kwenye account ya YouTube ya jamaa mmoja anaitwa "FRANK HOLLAND AUTOMOTIVE" nimeona gari kama ile ile ya diamond, Rolls Royce cullinan, rangi ile ile na badge ile ile.
Huyu jamaa ni official dealer wa Rolls Royce na anatambulika,yupo nchini Canada,ingia kwenye hii link
Hapo ndio nimeamini kuwa wabongo wameshikiliwa akili zao na Mange kimambi.Roho ya wivu wa kina Mwijaku h-baba na Mange kimambi imeshawaambukiza watanzania wengi na wao wakaamini kuwa Diamond hawezi kuwa na kitu ambacho wasanii wakubwa kama Davido n.k wanacho.
Hizi picha nime screen shot kwenye video inayoonesha moja ya magari yaliyopo kwenye yard ya Frank Holland,moja wapo ndio hiyo Rolls-Royce cullinan.View attachment 1854766View attachment 1854768View attachment 1854769View attachment 1854770View attachment 1854772View attachment 1854773View attachment 1854774View attachment 1854775View attachment 1854776
Eh hi gar gear yake sio yakusukuma wajameni?