Na wewe unaamini hizi story za vijiweni. Smhwe all love DR Shika,
I think his hi/story is incredible,
kuwashinda intelejinsia ya urusi kuna hitaji akili mingi,
mie niliona kuna kipindi walitaka kumuua mjamaa mwingine kwa sumu pollunium 210,kwa kifupi maintelejensia ya Urusi si ya kuyachezea,huyu atakua hazina kwa intelejensia yetu...lol
PHD holder.
PHD holder.
ni PhD...shule za wapi hizo..!PHD holder.
wimboNyimbo kali sana hii
Mkuu, huyu dishi halijayumba, imemlazimu kufanya anayofanya na hii yote ni akili mingi mno ametumia, kachangamkia fursa baada ya kugundua nchi inaongozwa ka kiki, mfano mzuri ni kuwa, kama hana hayo mabilion urusi kwa hapo bongo kwa kupitia kilichotokea mpaka sasa ameshapiga mpunga unaokaribia million 50 kwa matangazo ambayo anatakiwa kufanya na moja tayari ameshafanya. Akili mingi mno katumiaIla wajue wanacheza na kichwa chenye degree tatu za medicine, tena za Rudn univerity.
Si mchezo.
Huyu jamaa disha halijayumba. Ila kuna uwenzekano anahitaji wanasaikolojia ama .
Hujakosea, pia nawaza hivyo, nawaza mengi mno, mambosasa sijui atakuwa anawaza nini maana alisema mtu mwenyewe hafanani na milion.Mi sijui kwa nini, namuona kama yupo ktk mission flani hivi targeted!
Ha ha hani PhD...shule za wapi hizo..!
Me too.Mi sijui kwa nini, namuona kama yupo ktk mission flani hivi targeted!
Nafikiri huyo Dr Shika atakuwa hatumii sayansi ya wazungu pekee atakuwa anafanya kolabo na sayansi ya kienyeji. Majasusi wa wapi wanafundisha mtu akishika kengere mbwa hawamuumi?we all love DR Shika,
I think his hi/story is incredible,
kuwashinda intelejinsia ya urusi kuna hitaji akili mingi,
mie niliona kuna kipindi walitaka kumuua mjamaa mwingine kwa sumu pollunium 210,kwa kifupi maintelejensia ya Urusi si ya kuyachezea,huyu atakua hazina kwa intelejensia yetu...lol
Nafikiri huyo Dr Shika atakuwa hatumii sayansi ya wazungu pekee atakuwa anafanya kolabo na sayansi ya kienyeji. Majasusi wa wapi wanafundisha mtu akishika kengere mbwa hawamuumi?
Labda kiha.rage, hahaaaa! shida ni je kinashikika wakati wa hofu?hahahahahahah hio ya kubana kengere mbwa asikuume iliniacha hoi,sijui wanawake tutabana nini tukiona mbwa....hahahahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ila wajue wanacheza na kichwa chenye degree tatu za medicine, tena za Rudn univerity.