Roma amshirikisha Dr. Louis Shika kwenye wimbo wake mpya

Roma amshirikisha Dr. Louis Shika kwenye wimbo wake mpya

we all love DR Shika,

I think his hi/story is incredible,

kuwashinda intelejinsia ya urusi kuna hitaji akili mingi,

mie niliona kuna kipindi walitaka kumuua mjamaa mwingine kwa sumu pollunium 210,kwa kifupi maintelejensia ya Urusi si ya kuyachezea,huyu atakua hazina kwa intelejensia yetu...lol
Na wewe unaamini hizi story za vijiweni. Smh

Wanaomchukulia huyu Dr seriously nao sio wazima Kama yeye mwenyewe, but I'm happy for him kapata fursa na anaitumia ipasavyo.
 
Ila wajue wanacheza na kichwa chenye degree tatu za medicine, tena za Rudn univerity.
Si mchezo.
Huyu jamaa disha halijayumba. Ila kuna uwenzekano anahitaji wanasaikolojia ama .
Mkuu, huyu dishi halijayumba, imemlazimu kufanya anayofanya na hii yote ni akili mingi mno ametumia, kachangamkia fursa baada ya kugundua nchi inaongozwa ka kiki, mfano mzuri ni kuwa, kama hana hayo mabilion urusi kwa hapo bongo kwa kupitia kilichotokea mpaka sasa ameshapiga mpunga unaokaribia million 50 kwa matangazo ambayo anatakiwa kufanya na moja tayari ameshafanya. Akili mingi mno katumia
 
we all love DR Shika,

I think his hi/story is incredible,

kuwashinda intelejinsia ya urusi kuna hitaji akili mingi,

mie niliona kuna kipindi walitaka kumuua mjamaa mwingine kwa sumu pollunium 210,kwa kifupi maintelejensia ya Urusi si ya kuyachezea,huyu atakua hazina kwa intelejensia yetu...lol
Nafikiri huyo Dr Shika atakuwa hatumii sayansi ya wazungu pekee atakuwa anafanya kolabo na sayansi ya kienyeji. Majasusi wa wapi wanafundisha mtu akishika kengere mbwa hawamuumi?
 
Nafikiri huyo Dr Shika atakuwa hatumii sayansi ya wazungu pekee atakuwa anafanya kolabo na sayansi ya kienyeji. Majasusi wa wapi wanafundisha mtu akishika kengere mbwa hawamuumi?

hahahahahahah hio ya kubana kengere mbwa asikuume iliniacha hoi,sijui wanawake tutabana nini tukiona mbwa....hahahahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wanaosema Dr Shika dishi limecheza wao ndo la kwao limecheza tukianzia na Mambosasa!! Kwa waliosoma kdg intelligencia wanamuelewa vzr Dr Shika!!!

Issue ya kuwa undercover ni complex zaidi ya complex hasa unapodeal na big nations like Russia!!!
 
Jamani dr shika afungue account za social media awe karibu na sisi fans wake
 
Ila wajue wanacheza na kichwa chenye degree tatu za medicine, tena za Rudn univerity.
Si mchezo.
Huyu jamaa disha halijayumba. Ila kuna uwenzekano anahitaji wanasaikolojia ama .

Atarudi kwenye hali yake immediately when brain capacity he has got be used to the maximum/actively working @24/7 on a serious and complex matters!
 
Ila wajue wanacheza na kichwa chenye degree tatu za medicine, tena za Rudn univerity.
Si mchezo.
Huyu jamaa disha halijayumba. Ila kuna uwenzekano anahitaji wanasaikolojia ama .

Inawezekana ana akili hadi zimemwagika.
 
Back
Top Bottom