Roma ana matatizo gani? Kila anayekuwa rafiki yake lazima amgeuke

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Mwanzo alikuwa rafiki sana na Jose Mtambo akamtosa akidai ni mlevi kumbe kisa ni show alikuwa anapokea pesa akiahidi kwenda naye ila wapi.

Akafuata Kala Jeremiah huyu mpaka harusi yake alikuwa msanii wa pekee aliyehudhuria jamaa naye pia kamchinjia baharini.

Dayna Nyange pia.

Akaja na project ya kila mwaka yeye na Baghdad ambayo imeishia kutoa nyimbo 2 tu "una akili wewe" na "K ni K"

Juzi juzi kamchinjia baharini Moni Central Zone na sasa za kunyapia zinadai yeye na Stamina (Rostam) wameishagombana.

Hivi huyu jamaa anakosea wapi?!
 
Ni mshenzi na nyimbo zake za kishenzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…