Bongo movie ktk ubora wenuAu anataka apumuliwe yeye? Naona post yake imejaa wivu wivu tu
Yani roma ndo kaishiwa kiasi hiki amebaki kupiga vijembe mtandaoni?? ama kweli mziki hauna adabu..yani manguvu yote yale anayotumiaga kuimba na mahasira na majasho juu lkn anakuja kutoka Darasa mtu anayeimba vitu vyepesi,simpo tena kwa ku relax!!..dah
Wivu!
Lulu no nyingine ww yule mdogo kiumri lakini mkubwa kiakili, hanaga shobo za kijingabongo muvi anao wasema roma si ndio hao akina wema sepetu na lulu?
Korea Kaskazini
Lulu yupi?!!!huyu aliyetulia juzi baada ya kutoka jela tena sio hvyo alicharukaaLulu no nyingine ww yule mdogo kiumri lakini mkubwa kiakili, hanaga shobo za kijinga
Tena lulu kukaa jela kulimsaidia kuna kafunzo alikapata maana alikuwa kapinda sanaLulu yupi?!!!huyu aliyetulia juzi baada ya kutoka jela tena sio hvyo alicharukaa
akamuibia bwana shogaye husna na mondi bin laden,kampata majay kapretend utulivu
bongo muvi hakuna utulivu
vibaya mnooo...wema cha mtotoTena lulu kukaa jela kulimsaidia kuna kafunzo alikapata maana alikuwa kapinda sana
Kama una akili sawasawa huwezi kusema ni wivu. Pamoja na mambo mengine rafiki mzuri ni yule anayekutahadhari na mambo mabaya.Naona Roma anamuonea wivu Darasa
Kama ni rafiki yake si wangeongeaKama una akili sawasawa huwezi kusema ni wivu. Pamoja na mambo mengine rafiki mzuri ni yule anayekutahadhari na mambo mabaya.
We ni Jinsia gani?Naona Roma anamuonea wivu Darasa