Roma awachana Bongo Movie, amtahadharisha Darasa

Roma awachana Bongo Movie, amtahadharisha Darasa

Lulu no nyingine ww yule mdogo kiumri lakini mkubwa kiakili, hanaga shobo za kijinga
Lulu yupi?!!!huyu aliyetulia juzi baada ya kutoka jela tena sio hvyo alicharukaa

akamuibia bwana shogaye husna na mondi bin laden,kampata majay kapretend utulivu

bongo muvi hakuna utulivu
 
Lulu yupi?!!!huyu aliyetulia juzi baada ya kutoka jela tena sio hvyo alicharukaa

akamuibia bwana shogaye husna na mondi bin laden,kampata majay kapretend utulivu

bongo muvi hakuna utulivu
Tena lulu kukaa jela kulimsaidia kuna kafunzo alikapata maana alikuwa kapinda sana
c9a5b68fe3cc333b23d037a803685f7a.jpg
 
Roma ni mshikaji wa darasa ameshaona mtu anamsumbua darasa hapo anatafuta kiki aitwe nabii tu
 
Back
Top Bottom