Roma bado inatawala dunia

Haya maswali unaweza kusilimisha mtu.Akikujibu nitag
 
Nimejuwa hutaweza kulijibu hilo kwa kuwa swali hilo linasambaratisha hoja yako pale uliposema "na mataifa mengi yana sheria za Roma".

Sheria za Roma utumwa ni halali na mpaka leo utumwa upo ndani ya kanisa katoliki.

Sasa kajibu swali langu.
Umemnyoosha
 
Ilipoandikwa MNYAMA WA NNE , UFALME WA NNE. hizo nne zinamaanisha nini?. yaani 1,2,3 ni wakina nani hadi kufikia roma 4 ? Tuanzie hapo
Mnyama wa kwanza alikuwa ni babeli chini ya nebuchadnezzar
Wa pili wamedi na wapesi
Wa tatu ugiriki chini ya Alexander the Great
Wa nne Rumi
Huyu wa nne anagawanyika na kutoa mataifa mengine kumi baadae toka ktk hayo kumi matatu yanapinduliwa na nafasi yao anasimama papa hivyo yote ni sehemu ya ile Rumi

Hlf biblia inaonesha kuibuka kwa marekani na huyu anafanya kila kitu kwa heshima ya kumpendeza na kumlinda huyu mnyama wa nne

Marekani na ulaya vitabaki kuwa na nguvu hadi Yesu atakapokuja kuyafutilia mbali
 
najua watu tunavyo kumbatia visa vya kiyahudi na kuvipa kipaumbele katka maisha yetu....mmesahau imani za mababu zetu na wahenga......dini zmekuja karne gani.....hakuna neno jumamosi wala jumapili kwnye bibilia.....hamjui hata sku hizi kihistoria tuaenzi miungu ya kigiriki....kwa mwenye fikra pevu Naomb tu aache kusali kinafiki kwa kuheshim siku wakati uovu uloko ndan yake ni sawa na choo ambacho kila kiumbe huingia kufanya haja yake bila kujal muktadha........
for as many as are of the work of the law are under the curse..........
 
Mkuu unataka kutuaminisha stori za kukuza mambo kuliko uhalisia.

Post yako imejaa mythology na hoax kibao.

Hao robot (AI) unaosema hutawajua kirahisi kama ukiwasiliana nao kwa text na sio ukikutana nae live mnaongea kwa voice (audio) hautamjua kama robot huo ni uongo tena mkubwa sana.

Kisayansi hao robot ambao ukifichwa usimuone na kuwasiliana nae (chat) kwa maandishi (text) na huku unawasiliana vile vile na binadamu halisi aliefichwa kisha unaulizwa kama ulikuwa unajua unawasiliana na robot au binadamu. Ikitokea 30% ya watu waliojaribiwa wakashindwa kutambua kama walikuwa wanawasiliana na hiyo robot basi tunasema huyo robot amfaulu(pass) TURING TEST.

So far robot wachache sana duniani wame karibia ku-pass hiyo Turing Test kama Eugene Goostman chatterbot.

Hata robot maarufu Sophia aliepewa uraia wa Saudi Arabia hivi karibuni haja pass Turing Test. Acha kuangalia movie za Hollywood na kusoma stori za kizushi mitandaoni kisha na kuzieneza kama jambo la ukweli.

Narudia tena kusema bado duniani hajatengenezwa robot wa kiwango ulichokisema.
 
Emoji zinaendana na nini unaandika kwa mlengwa wa kipi kinamfikia.

Siyo kuzitumia tumia bila kujua umuhmu wake.

Sijaona umuhmu wa emoji pale zaidi kukariri kisa zipo.

Nafunga mjadala.
Hayakuhusu [emoji15] [emoji12] nimekwambia kalia kichwa ili ujue umuhimu wa makalio [emoji4]
 
Nadhani ufalme wa 5 utamalizwa na kiama then mungu mwenyewe atachukua usukani
Kiama unamaanisha unyakuo?
Ufalme wa 5 utamalizwa na Mungu mwenyewe kama andiko linavyosema katika Danieli 2:43-44. Ufalme huo wa 5 utaanza mara moja baada ya unyakuo kutokea na utawala (ufalme huo, utawala wa mpinga kristo) utadumu kwa muda wa miaka 7 (wataalam wa masuala ya eschatology wanachambua hivyo kwa kutumia vitabu vya Danieli na Ufunuo wa Yohana). Baada ya miaka 7, Mungu atahitimisha tawala zote za wanadamu juu ya dunia (pamoja na huo ufalme wa 5), kisha Bwana Yesu atatawala duniani (dunia hii hii tunayoishi sasa) pamoja watakatifu kwa muda wa miaka 1,000 akitawala wanadamu watakao kuwa duniani wakati huo, yaani wanadamu walio-survive miaka 7 ya ufalme wa 5 (utawala wa mpinga kristo).
Baada ya miaka 1,000 kuisha itafuata hukumu ya mwisho ambapo kila mmoja atapata haki yake pasipo upendeleo, kama ni moto au uzima wa milele. Kisha dunia hii na mbingu za sasa zitaondolewa. Mungu atafanya dunia na mbingu mpya ambapo Bwana Yesu na watakatifu wataishi milele na milele maisha ya furaha tele wakati huo huo kule jehanamu shetani na wafuasi wake wakiteswa milele na milele!
 
Wengine tunachojuwa kwa sasa ni USA ndiyo mkubwa na anayetawala dunia, akipata mafua lazima tupige chafya (credit crunch), sasa hayo ya vitabu vya abunuwasi muendelee tu kwa wakati wenu..
 
Chunga sana ulichonacho kwa maana siku za mwisho manabii wa uongo watakua wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…