Roma bado inatawala dunia

Ufalme ujao ni wa wayahudi.ukiangalia kwa sasa wayahudi ndio wameteka nyanja zote za uchumi,siasa na hata media.
 
Mackie nimetambua kwamba mimi na wewe tupo kwenye spiritual horizons 2 tofauti. Kwangu mimi biblia inajitosheleza, ni kila kitu. Kwa hiyo mjadala na wewe nimefunga. I have nothing any more to debate with u!
 
Hivi tunajuaje kama unabii huu ulishatimia wakati Roman Empire ilipoitawala dunia?
 
Ilipoandikwa MNYAMA WA NNE , UFALME WA NNE. hizo nne zinamaanisha nini?. yaani 1,2,3 ni wakina nani hadi kufikia roma 4 ? Tuanzie hapo
Kuna babeli, wayunani na wamedi(hawa selikali yao ilikuwa ya muungano kwa wkati mmoja) kisha wayunani ndipo wanafuata hao warumi.
 
Hata hiyo America inatokana na rumi, kimbuka America imeundwa na mataifa yapi? Ni kutoka nchi za ulaya, hats mwanzilishi wa hilo taifa George Washington alikuwa mwingereza pia marais wote waliofuata asili yao ni ulaya kasoro Obama peke yake ila ukumbuke hats Obama mama yake ni mzungu.
Selikali zote za marekani wanamheshimu sana papa na kufuata maagizo yake, na hakuna rais yeyote wa marekani anayeingia madarakani na kuondoka bila kufika Vatican kuapata maagizo jinsi ya kukamilisha new would oder. Jaribu kutafuta hotuba za George w. Bush kila alipokutana na pope alisemaje?
 
Yesu kristo mwenyewe.
 
Kaka nashukuru sana kwa maelezo mazuri, ila kwa kuongezea ni kwamba.

Kumbuka biblia imesema kuwa rumi ya kimwili haiondoki kabisa. Ni kweli rumi yenyewe iliyokuwepo mwanzo iligawanyika Mara kumi, na mpaka sasa hayo mataifa yaliyounda rumi ya kale yapo kasoro mawili yaliyoharibiwa kabisa kwa maksudi na utawala wa papa.

Na tunaambiwa katika biblia kwamba kuna rumi nyingine ya kiroho, ambayo ilikuwa imepata jeraha baadae na likapona ( huo ni upapa) kumbuka upapa ulikuwa umeshaondolewa hapo mwanzo katika mapinduzi ya ufaransa, papa aliuwawa na mamlaka yake yakaondolewa kabisa.

Lakini tunakuja kuona baadae mfalme mwingine wa ufaransa anakuja kumrejeshea tena mamalaka na kupewa tena kipande cha nchi( Vatican) kwa hiyo yule mnyama mwenye kunena kakufuru aliyekuwa amepata jeraha la mauti hatimaye jeraha hilo likapona akaendelea kunena maneno makuu ya makufuru na mataifa yote wakampa nguvu zao, akapata kazidi kutawala na kunena makufuru.

Kumbuka papa anaposema kwamba hakosei na wala hawezi kukosea, hiyo ni kufuru, pia wanasema kwamba papa anachukuwa nafasi ya mungu hapa duniani, papa amebadili amri kumi za mungu ( na bilbia inaongelea habari za hiyo myama kubadili sheria za mungu, majira na nyakati) kwa mujiba wa mwandishi mmoja wa kikatoliki ni kwamba papa ana uwezo wa kubadilisha maandiko ya biblia, na tayari wamekisha Fanya hivyo. Hiyo yote ni kufanya kinyume na maagizo ya mungu (kukufuru).

Hivyo basi bila kumungunya maneno mnyama anayefuatia ni upapa dunia ianafanya maandalizi ya kukabidhi mamlaka na madaraka yote kwa papa. Kutakuwepo na Dino moja na selikali moja duniani na maandalizi hayo yalikwishaanza kitambo.

Kuna mnyama anayetoka katika nchi yaani marekani ndiye atakayemkabidhi papa mamlaka, kumbuka marekani imetabiriwa ndani ya biblia.biblia ikisema mnyama anatoka baharini au maji mengi ina mahanisha kwamba ni mtawala mwenye nguvu kutoka miongoni mwa nchi yenye watu wengi, lakini ukisoma biblia kuwa mnyama anatoaka katika nchi, maana yake ni kuwa mtawala huyo anatokea sehemu isiyokuwa na watu kidogo sana UA hakuna kabisa, kumbuka na taifa la marekani lilianzishwa na wazungu, ndio waliolivumbua hilo bara akina kolumbas hapakuwepo na watu wengi mpaka wlipokuja kuchukuwa waafrica kuwafanya watumwa. Nchi ya marekani watu wanaokaa himo aslimia 99.999 wote ni watu wa kuja, taifa hilo liliundwa na wageni.

Hivyo unabii wa biblia unatimizwa bila shaka. Na tumeambiwa mpinga kristo na nabii wa uongo wote watatoka rumi ( miongoni mwa nchi za ula ya) kumbuka rumi ya zamani iliundwa na nchi kumi za ulaya, watu wengine udhani kuwa rumi ni Italy pekee. Rumi ya mwanzo ilikuwa ni pamoja na
1 ujerimani
2 uingereza
3 ufaransa
4 Hispania
5 Italy
7 Swiss land
8 ureno na mataifa mengine mawili yaliyoondolewa kama vile wavandali na waostigos.
 
Hakuna mahali Biblia imetaja Rumi kwenye unabii wa siku za mwisho bali Biblia imetaja falme zingine kabisa....

Hili suala la Rumi ni assumtion zenu tu...

Hata suala la Papa kuwa mnyama ni assumtion zenu vile vile....

Hakuna ushahidi wowote wa kiunabii wa jambo hili.....
 
Bila shaka ndugu wewe ni msomaji wa vitabu vya Danieli na Ufunuo!
Ukisoma vizuri Danieli 9:20-27, utaelewa kwamba utawala wa Roma utatawala juma la 70 (wiki 1). Kinabii wiki 1 = miaka 7.
Hii nilisoma kwenye makala za Ellen G White..
 
Blaza huyo ni Msabato.

Ila Wasabato na Waislam ni ndugu mmoja
Ni kweli!; ndio sababu waisilamu wanasali ijumaa wakisherehekea kwamba Yesu kafa...wasabato wanasali jumamosi wakifurahia Yesu yupo kaburini...Wakristo tunasali JPili tunasherehekea Bwana wa Mabwana kashinda kifo ni limbuko letu [emoji123] [emoji106]
 
Wasabato masalia hao wala usihangaike nao, huwa wanamwabudu Ellen G. White!!
 
Mkuu ndio nilichotaka kucomment...
Sasa Mimi nilikua mroma roma sugu familia nzima ...kanisani nilikua nakaa karibu na padri nadhan mnaelewa ....,....ila nilisikia tu habari ya siku ya ibada ni IPI ???? nikaanza kusoma maandiko na kuuliza baadhi ya watu wadini ...lakini kila nilipokua nikimuuliza padri Wangu alikua akinambia nitakujibu jumapili ijayo hatimae nikaanza kukata tamaa nikawa sionekan tena pale mbele ...Kwa kusoma na kudadisi Nikagundua kua Sabato ya Mungu ni Juma mosi ...Nabiblia pekee ndio inayotoa jibu ....nampaka sasa Familia nzima tu wasabato kasoro Baba yangu lakini naye nikipata muda narudi huwa nazidi kumpa somo ..naniaamini mauti hayatomfika kabla naye hajawa msabato.

Somen Biblia mjue ukuu Wa Mungu ...ujanja na porojo zakubisha bisha alafu biblia hujawahi hata kuigusa pengine hujui inauzwa shilingi ngapi no way zaidi ya kupotea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…