Roma bado inatawala dunia

Ni kweli!; ndio sababu waisilamu wanasali ijumaa wakisherehekea kwamba Yesu kafa...wasabato wanasali jumamosi wakifurahia Yesu yupo kaburini...Wakristo tunasali JPili tunasherehekea Bwana wa Mabwana kashinda kifo ni limbuko letu [emoji123] [emoji106]
Hahahahaha....

Wasabato siyo Wakristo
 
Somen Biblia mjue ukuu Wa Mungu ...ujanja na porojo zakubisha bisha alafu biblia hujawahi hata kuigusa pengine hujui inauzwa shilingi ngapi no way zaidi ya kupotea tu.
Kwa hiyo ni Msabato...?

Sidhani kama unajua chimbuko la kundi la Kiharakati la Mama Ellen G White.....
 


Wacha kujaza watu ujinga.

The Hague ipo Uholanzi (Netherlands) na haipo Roma (Rome, Italy).
 
Unakaa mbele unamuuliza padri juu ya siku ya Ibada.
Mkuu ni kanisa lipi la rc ambalo jumapili kuna kipindi cha maswali na majibu Katika Ibada.
Wewe sema tu unataka na sisi tuwe wasabato lakini nakuhakikishia siku ya ibada sio hoja ya msingi ya wewe kufika mbinguni
 
Uzuri wa biblia kila mtu huwa anaitafsiri kulingana na kile anachotaka.
Biblia ni wewe mwenyewe unavyoamua uitafsiri tu
 
Wacha kujaza watu ujinga.

The Hague ipo Uholanzi (Netherlands) na haipo Roma (Rome, Italy).
Kasema "wameweka mahakama yenye sheria za roma",hajasema the hague ipo Rome. Swali kuu kwake atueleze hizo sheria ni zipi? Na kwanini ni sheria za roma?
 
Kukaa mbele ya kanisa hakuna tofauti na wale mafarisayo na masadukayo ambao walikuwa wanafanya kama wewe na bado walikuwa ni wajinga [wasiojua] kumhusu Mungu....


Padri kutokukueleza kuhusu siku ya ibada ni ujinga [kutokujua] wake na siyo wa kila mtu asiyesali jumamosi.....

Halafu unaizungumzia biblia ipi?

Hakuna mahali kwenye biblia panataja jumamosi,nioneshe leo na mimi nakuwa msabato...

Ninayoijua mimi inasema tunapaswa kumuabudu Mungu katika roho na kweli,hiyo inayosisitiza siku ni ipi?
 
Alichokiandika mackie huwezi kukielewa unless unaelewa kile kinachoendelea duniani na kipo kwenye biblia tena kwenye hiyo hiyo Danieli 2:44 lakini hutaona hapo kwasababu tayari una upofu wa mapokeo yako kama nilivyokuwa mimi....

Pole sana ndugu...
 
Bahati mbaya sana huu ndiyo ukweli kwa sehemu kubwa sana lakini hili wengi hawalijui haswa hawa waliopofushwa na haya mapokeo ya madhehebu....

Inasikitisha sana aisee.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…