Roma bado inatawala dunia

Papa kaipindashaje hiyo Amri?, we ulikuwa unataka Wakatoliki wafanye nini hiyo siku ya Sabato ya Wayahudi?
 
Out of the topic

Nimejuwa hutaweza kulijibu hilo kwa kuwa swali hilo linasambaratisha hoja yako pale uliposema "na mataifa mengi yana sheria za Roma".

Sheria za Roma utumwa ni halali na mpaka leo utumwa upo ndani ya kanisa katoliki.

Sasa kajibu swali langu.
 
Kwenye Maelezo yako umewataja Britain lkn Britain dini yao ni aglican
Nadhani anglican ni jina tu walibadili but walikuwa tu catholic wote hata hayo makanisa yao ni ya catholic hayana tofauti. By the way hizi dini zote ni kama wameleta wao so hata wakileta hiyo moja kuziondoa hizi nyingine haitakuwa shida sana. MAANA MUNGU HAKULETA DINI.
 
Nimejuwa hutaweza kulijibu hilo kwa kuwa swali hilo linasambaratisha hoja yako pale uliposema "na mataifa mengi yana sheria za Roma".

Sheria za Roma utumwa ni halali na mpaka leo utumwa upo ndani ya kanisa katoliki.

Sasa kajibu swali langu.
Ndio maana ana heri mjinga kuliko mpumbavu, hivi unajua hayo mataifa ya kiislamu bosi wao ni papa?
 
Iran washaacha dola india wameanza kununua oil kwa dhahabu kutoka iran russia wametangaza kuiacha dollar soon even china. So dollar ia about to go down ......
 
Jibu swali ,ni wap unapata ushahidi au andiko kuwa kufufuka kwa Yesu ndio siku ya ibada?
Kabla sijakupa, nipe andiko linalisema Wasabato twapaswa kusali siku ya Jumamosi....?? Maana amri hiyo ya kushika Sabato iliwahusu Waebrania....Sasa wewe kenge wa dongo beshi niambie tangu lini umekuwa Muebrania..?

Kumbuka: Wasabato siyo Wakristo ila hupenda kujiweka kwenye kundi la Wakristo..
 
Ndio maana ana heri mjinga kuliko mpumbavu, hivi unajua hayo mataifa ya kiislamu bosi wao ni papa?

Hiyo ni wishful thinking.

Vipi maprotestanti wamewashinda mnarukia kwengine?

Kajibu swali langu, mbona unalikimbia swali jepesi sana? Jikumbushe:

Jee, Mahakama ipi leo hii duniani inayokubali kuwa utumwa (slavery) ni halali?
 
Unaweza kunionesha kinagaubaga Association iliyopo kati ya Utawala wa Roma na Uingereza?

Umesema "Take care nisije kuangukia katika utawala wa roma"....nitake care vipi?

Naomba ujibu kisomi au kiuelewa mkubwa.
 
Kwenye Maelezo yako umewataja Britain lkn Britain dini yao ni aglican
At least wewe umegundua la muhimu

Britain waliamua kuwa waprotestant kwa miaka mingi sana

German waliamua kuwa waprotestant kwa miaka mingi sana iliyopita

Britain [emoji117] Anglican

German, Denmark, Norway,Sweden wengi [emoji117] Lutheran.
 
Nadhani amesema ina sheria za roma sio kwamba ipp roma/italy.

Weka ushahidi kuwa The Hague inafata sheria za Roma.

Baadae nimeuliza hivi:

Jee, Mahakama ipi leo hii duniani inayokubali kuwa utumwa (slavery) ni halali?
 
Nadhani amesema ina sheria za roma sio kwamba ipp roma/italy.
Hebu tuoneshe hizo sheria za Roma, na hizo za Sehemu zingine zinazofanana na Roma..? Na unaposema Sheria unalenga sheria gani..? Sheria ni pana sana.....

Tupe ufafanuzi
 
Kufufuka kwa Yesu ndio siku ya kusali ? Umeitoa wapi hii
Weweeeee....usitake tufikiri kuwa huko kichwani ubongo wako umeingia funza watokonyao...sawa?

Umeulizwa swali...jibu swali, this is one among critical principles of a dialogue, yaani ukiulizwa swali unajibu kwa usahihi kisha unauliza swali...sawa?

Yesu alifufuka lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…