Roma haweki akiba?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
kitendo cha ndani ya mwezi mmoja kufungiwa na basata na kuanza kulalama anakufa njaa, mara mtoto anakosa ada mara mke mjamzito anashindwa kumhudumia nauliza tu hivi huyu jama huwa haweki akiba? Au hana vimiradi vidogo vidogo je tukiacha kuzipokea kazi zake atalalamika wapi?
 
Haijalishi anaweka au haweki akiba ila nimeamini msemo wa binadamu wote ni sawa na sheria ina usawa ni maneno tu.
Roma kafungiwa miezi sita na kuomba msamaha bado hata hajasikilizwa ila Mond kawachana na kubishana nao bila uoga yet wanamuita wayazungumze angekuwa Roma angefungiwa maisha kabisa.
 
Ni ujinga mtupu
 
Ni tabia ya waTZ kulalama nilimsikia juzi kati mke wa tajiri wa mabasi ya super sami akisema baada ya mumewe kuuwawa atawaleaje watoto wake wa tatu ambao wanasoma nikajiuliza sana juu ya huu utajiri mtu kaacha zaidi ya mabasi kumi tena ma YOUTONG.
 
Mlezi wa WCB ni naibu rais
 
KULIA HUKU NI KUTAKA KUONEWA HURUMA NA JAMII. TATIZO KUBWA HIVI VISANII VYETU HAVIFAHAMU NINI MAANA YA KUWA MWANGA WA JAMII. KUWEKA MATUSI YA HADHIR KWENYE TUNGO ZAO AMBAZO ZINASIKILIZWA NA WOTE NI UTOVU WA ADABU NA NI KOSA LA JINAI[ NI SAWA NA KUTUKANA HADHARANI]
INAELEWEKA KUWA KWENYE SANAA MAMBO HAYO HAYAKWEPEKI LAKINI KAMA WANGEKUWA WANAFANYA TAFITI ZA MALENGA WA KALE WANGEONA JINSI TUSI LINAVYOWEZA FUNIKWA KIASI HATA JAMII ISIELEWE ILA MLENGWA TU . MLENGWA NAYE ANAWEZA KUJIBU VIVYO HIVYO PASI NA JAMII KUELEWA WAKABAKI WANASHEREHEKEA USHINDANI KATI YA WASANII.
 
Kweli kabisa mkuu kwa mfano usemi wa kale unaosema "Nyani haoni kundule" kwa ufafanuzi ni kwamba nyani haoni mk.ndu wake hii ingekaa vibaya kama ingetamkwa ilivyo.
 
Ni tabia ya waTZ kulalama nilimsikia juzi kati mke wa tajiri wa mabasi ya super sami akisema baada ya mumewe kuuwawa atawaleaje watoto wake wa tatu ambao wanasoma nikajiuliza sana juu ya huu utajiri mtu kaacha zaidi ya mabasi kumi tena ma YOUTONG.
Au labda mali zake ni zile za chuma ulete so anajua marehemu akitangulia mali zake zitamfuata ila nje ya hapo sioni sababu ya yeye kulalama
 
we ujielewi
 
sasa we maisha ya wasanii yanakuhusu nini.
ATHARI YA MAMBO YAO YANATUHARIBIA WATOTO MAANA BAADHI YA NYIMBO ZAO AMBAZO HUIMBWA KWENYE VYOMBO VYA HABARI, WATOTO WANASIKIA NYIMBO HIZO HATA BAADA YA KUKATAZWA NA WAZAZI WAO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…