aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
kitendo cha ndani ya mwezi mmoja kufungiwa na basata na kuanza kulalama anakufa njaa, mara mtoto anakosa ada mara mke mjamzito anashindwa kumhudumia nauliza tu hivi huyu jama huwa haweki akiba? Au hana vimiradi vidogo vidogo je tukiacha kuzipokea kazi zake atalalamika wapi?