Roma haweki akiba?

Ni tabia ya waTZ kulalama nilimsikia juzi kati mke wa tajiri wa mabasi ya super sami akisema baada ya mumewe kuuwawa atawaleaje watoto wake wa tatu ambao wanasoma nikajiuliza sana juu ya huu utajiri mtu kaacha zaidi ya mabasi kumi tena ma YOUTONG.
Mimi naona ni wakati sasa wa wanaume wa kiafrika kuchukua tips kadhaa wa kadhaa katika maisha kwa hawa Wahindi!! wahindi utakuta mama, baba na watoto wanashiriki vema katika kuinua uchumi wa familia..unakuta wana survive vizuri tu.
Niliwahi kusema hivi leo muhindi na mbongo wafungue biashara leo...utakuta baada ya kipindi kadhaa biashara ya mbongo huwa inateteleka. discipline ya pesa muhimu sana
 
Ni tabia ya waTZ kulalama nilimsikia juzi kati mke wa tajiri wa mabasi ya super sami akisema baada ya mumewe kuuwawa atawaleaje watoto wake wa tatu ambao wanasoma nikajiuliza sana juu ya huu utajiri mtu kaacha zaidi ya mabasi kumi tena ma YOUTONG.
Kumbuka hayo mabasi ni ya mkopo.
 
Kweli kabisa mkuu kwa mfano usemi wa kale unaosema "Nyani haoni kundule" kwa ufafanuzi ni kwamba nyani haoni mk.ndu wake hii ingekaa vibaya kama ingetamkwa ilivyo.
Hahahaaa "asha kum sio matusi"
Wahenga walikuwa mafundi
 
Watu wengi humu wanajifanya much know kumbe upuuzi mtupu, mfanyakazi mwenyewe asimamishwe miezi Sita bila mshahara lazima atatetereka, atakuwa ROMA? Kwa show zipi? Diamond mwenyewe ambaye kipato chake ni kikubwa zaidi ya Roma kafungiwa nyimbo kapopoma hatari, je angefungiwa fanya music kama Roma si ndio angetukana mitusi kabisa, acheni unafiki nyie watoto mnaoishi kwa shemeji zenu, tena huu mwandiko wa mtoa post nahisi wa kishemeji changu, kinakula bure, kulala bure then nyuma ya keyboard kinajifanya kijuaji
 
Kabisa wanaongea kama hawaelewi aisee
 
Hoja yangu ROMA Huwa haweki akiba? Hivi kama mungu anamshangaza na jambo lolote sasaivi je Maisha yake yataendelea vipi hiyo Ndo Hoja jibu Kisha Ndo utukane
 
Humu JF vichwa maji wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…