Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naona ni wakati sasa wa wanaume wa kiafrika kuchukua tips kadhaa wa kadhaa katika maisha kwa hawa Wahindi!! wahindi utakuta mama, baba na watoto wanashiriki vema katika kuinua uchumi wa familia..unakuta wana survive vizuri tu.Ni tabia ya waTZ kulalama nilimsikia juzi kati mke wa tajiri wa mabasi ya super sami akisema baada ya mumewe kuuwawa atawaleaje watoto wake wa tatu ambao wanasoma nikajiuliza sana juu ya huu utajiri mtu kaacha zaidi ya mabasi kumi tena ma YOUTONG.
Kumbuka hayo mabasi ni ya mkopo.Ni tabia ya waTZ kulalama nilimsikia juzi kati mke wa tajiri wa mabasi ya super sami akisema baada ya mumewe kuuwawa atawaleaje watoto wake wa tatu ambao wanasoma nikajiuliza sana juu ya huu utajiri mtu kaacha zaidi ya mabasi kumi tena ma YOUTONG.
Hahahaaa "asha kum sio matusi"Kweli kabisa mkuu kwa mfano usemi wa kale unaosema "Nyani haoni kundule" kwa ufafanuzi ni kwamba nyani haoni mk.ndu wake hii ingekaa vibaya kama ingetamkwa ilivyo.
Kabisa wanaongea kama hawaelewi aiseeWatu wengi humu wanajifanya much know kumbe upuuzi mtupu, mfanyakazi mwenyewe asimamishwe miezi Sita bila mshahara lazima atatetereka, atakuwa ROMA? Kwa show zipi? Diamond mwenyewe ambaye kipato chake ni kikubwa zaidi ya Roma kafungiwa nyimbo kapopoma hatari, je angefungiwa fanya music kama Roma si ndio angetukana mitusi kabisa, acheni unafiki nyie watoto mnaoishi kwa shemeji zenu, tena huu mwandiko wa mtoa post nahisi wa kishemeji changu, kinakula bure, kulala bure then nyuma ya keyboard kinajifanya kijuaji
Watu wengi humu wanajifanya much know kumbe upuuzi mtupu, mfanyakazi mwenyewe asimamishwe miezi Sita bila mshahara lazima atatetereka, atakuwa ROMA? Kwa show zipi? Diamond mwenyewe ambaye kipato chake ni kikubwa zaidi ya Roma kafungiwa nyimbo kapopoma hatari, je angefungiwa fanya music kama Roma si ndio angetukana mitusi kabisa, acheni unafiki nyie watoto mnaoishi kwa shemeji zenu, tena huu mwandiko wa mtoa post nahisi wa kishemeji changu, kinakula bure, kulala bure then nyuma ya keyboard kinajifanya kijuaji
Au aende ZimbabweSasa si aende kupiga show Kenya huko.